Nahitaji Mkopo kwa riba

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,320
11,322
Habari wanawajasiriamali wanauchumi na wafanyabiashara wa jukwa hili pendwa na watu makini.

Je naweza kupata mtu ambae anakopesha kwa riba au au mwenye info zozote za upande wa hitaji hilo, kama yupo sio mbaya ukajongea PM kwa maongezi zaidi.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom