Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Mwananchi limeandika jinsi treni itakavyoleta miujiza. Najiuliza, hivi miujiza ya mabasi ya mwendokasi ilishakuwa realised? Tuliaminishwa miujiza na mabasi, tuamini na treni? Ngoja tuwe na...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakongwe habari zenu Nani anaweza nisaidia kupata database ya Makampuni pamoja na NGO s zote zilizopo Tanzania pamoja na contact zake Kama kuna link ambayo tunaweza kuingia na kukuta list ya...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Hii ni kuashiria hali ya uchumi ni mbaya au imekaaje kaaje hii Ukipita maeneo kadhaa ya hapa mwanza town center mitaa ya Darajani utakuta matangazo ya kupangisha fremu za maduka miezi inakatika no...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu jana nilikuwa ktk pita pita zangu, ktk kijiji flani ngoro ngoro nikashtushwa na bei ya mahindi ambapo nilijaribu kuulizia bei ya debe moja nikaambiwa ni Tsh 28000.. kwa wastani wa sadolini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba kuuliza kwa anayefahamu kuwa nikiingiza bidhaa iliyotengenezwa South Africa nchini Tanzania nitalazimika kulipia ushuru? auliza hivyo nikizingatia kuwa South Africa ni nchi ndani ya SADCC...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari wana JF, Naombeni kujua bei ya dhahabu kwa gram na mnunuzi anaenunua kwa bei nzuri. Nipo Dsm Nb: Dhahabu mbichi (sio mkufu, hereni au vito vya thamani)
2 Reactions
5 Replies
13K Views
Eti wadau aibu inayonikumba nahisi inanisababisha kufeli vitu vingi sana. Nawezaje kujiondoa na suala la aibuu ili kufanikiwa mipango yangu. Naombeni ushauri wadau natanguliza shukrani.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa mmujibu wa kikao cha management ya bank ya CRDB kilichofanyika jumatano tar 17 sept 2014. Kujaadili ufanisi wa huduma na utendaji kazi wa Bank hiyo kimeazimia kuzuia matumizi ya smartphone kwa...
7 Reactions
82 Replies
10K Views
Kuna ulazima wa kuweka bima kwa pikipiki inaponunuliwa? na ni faida gani naweza pata kwa hii bima pia gharama yake ni sh. ngapi?
1 Reactions
3 Replies
9K Views
Habari za saizi wadau nataka watu watano wajitokeze tufungue kampuni ya udalali itakayo kuwa inaendeshwa kimtandao na kiprofessional ambayo itajihusisha mpk na utengenezaji wa mikataba kwa mateja...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naombeni ushauri jamani, napokea laki sita take home, niweke akiba kiasi gani kwa mwezi?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
1 USD =103.350KES US Dollar1 USD = 103.350 KES ↔ Kenyan Shilling1 KES = 0.00967588 USD 1 USD =825.723RWF US Dollar1 USD = 825.723 RWF ↔ Rwandan Franc1 RWF = 0.00121106 USD 1 USD =1,706.43BIF...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF! Ninataka kununua basi kubwa la abiria 41 kwa ajili ya usafiri wa daladala hapa dar kutoka kampuni ya eicher. Naomba kujulishwa namna ya kupata TLB kwa sasa, je kuna usumbufu...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
hii ni kwa wanawake na wadada wa jf nina jambo nataka kuwashirikisha hasa wanawake wa jf kama watapenda kuwa tayari katika kujisajiri katika group la women issues basi wasisite kujitokeza na...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
NAJIHAMI NAHITAJI MSAADA/MAWAZO SIO KEJELI NILIAGIZA MZIGO TOKA CHINA NA KUSAFIRISHA KWA UPS NA UMEFIKA NA KUGOMEA BANDARINI/TRA.ULITAKIWA UFIKE MOROGORO LEO TAREHE 11/04/2017 NIMEPOKEA SIMU...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimekuwa katika vibati viwili tu kwa maisha yangu, niliviacha haraka sana.Sijui nilikuwa kwa vibati sio au ila tokea hapo nimeacha kabisa kucheza vibati. Vibati vina faida sikatai ila kuna hasara...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wana jF, Mimi ni kijana baada ya kukaa sana mtaani bila kazi ya kueleweka japokuwa nina kijielimu kangu kutoka college moja hapa mjini nimeamua kuja na wazo langu la biashara kwa ajili ya...
14 Reactions
79 Replies
12K Views
Wadau naomba kuwasilisha ufafanuzi juu ya suala la mchanga wa dhahabu (makinikia). Tunaweza kujifunza kitu hapa. Bonyeza link hii kupata You Tube video...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Huwa nafanya kazi za consultancy na Lutheran Investment Company (LUICO)~ Arusha. Kuna tender wamepata Dsm ya kusupply 90 tones of maize monthly.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika hali isiyo ya kawaida tangu mwezi huu wa nne uanze bei ya sukari imepanda ghafla kwa taarifa za kwamba sukari haipatikani. Katika hali ya kushangaza siku ya jumapili nimenunua sukari bei...
1 Reactions
1 Replies
847 Views
Back
Top Bottom