ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,138
- 4,153
Sasa hivi kuna watu kama elfu 20 hivi wanaingia mitaani na watataka pesa zao ili warudi shule ama wapambane na maisha sasa sijui kama hii mifuko ya hifadhi ya jamii imejiandaa kuwalipa mafao yao hasa lile la withdrawal na kwa wale wastaafu ni swala la kiinua mgongo.
Kwa wale ambao hawajajua watafanya nini haya hapa ni baadhi ya mawazo ya biashara:
Kwa wale ambao hawajajua watafanya nini haya hapa ni baadhi ya mawazo ya biashara:
- Ufugaji wa kuku
- Kilimo cha mahindi
- Kilimo cha mbogamboga
- Kuuza betri za simu
- Kuchaji simu
- Kuuza taa za sola
- Kuanzisha ngo
- Kufundisha tuition mitaani
- Kufungua saloon na massage parlour