KENNY JEEZY
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 271
- 273
Nimekuwa nikifatilia kwa miezi kadhaa dhamani ya shilingi ya Tanzania dhidi ya Dollar ya Marekani, nikagundua kuwa benk zina rate ambazo ni tofauti sana na rate za Bureau de change..
kwa mfano.
CRDB buy ni 2,170.00 na sell 2,280.00
NMB buy ni 2,156.00 na sell 2,276.00
NBC buy ni 2,182.18 na sell 2,292.18
Na wakati huo huo nimetembelea Bureau de change kadhaa hapa Arusha
Sanya Bureau de change buy ni 2,225 na sell 2,235
Chelsea Bureau de change buy ni 2,228 na sell 2,240
Jobex Bureau de change buy ni 2,228 na sell 2,240
kuna moja siikumbuki jina ila buy 2,227 na sell 2,238
bei elekezi iliyolewa na B.O.T ilikuwa ni buy 2,216 na sell 2,238, ambayo kidogo naona haipishani sana na bei za Bureau de change
kwenye biashara kila mmoja anaweza kupanga bei anayoona inafaa, lakini kwa hili kwa nini benki rate zao huwa zinakuwa ni mbaya sana kulingana na soko lilivyo