WilsonKaisary
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 392
- 947
Tunataka kujenga viwanda nchini, sawa ni sera nzuri.
Vipi serikali imeunda sera ya kulinda bidhaa zetu za ndani na viwanda vya ndani? tunaweza tukawa tunazalisha bidhaa nyingi na kuna bidhaa kama hizo hizo zinakuja nchini kwa wingi.
Vipi watanzania wana-elimu ya kutosha juu ya kununua na kutumia bidhaa zetu za ndani?
Na vipi imani ya watanzania juu ya bidhaa za hapa nchini imewekwa sawa? maana wengi hawana imani na
ubora wa bidhaa zetu.
Bei za bidhaa zetu za ndani zitapangwaje? maana unakuta bidhaa ya nje ina gharama nafuu kuliko bidhaa za ndani na zote zina ubora sawa.