Vodacom waongezewa wiki 3 za kuuza hisa

mkuuu ushauriwa wa wengi unasemaje ?kuhusu hizi hisa za vodacom? kwani nataka kununua nyingi tu..kama 10m..nipeni ushauri..
 
Wataalamu wanasema bei yake iko juu kulinganisha na telecoms zengine za Africa, pia Voda sio rahisi kuonyesha ukuaji wa biashara katika stage hii iliyofikia ni namba moja tayari na ushindani ni mkali sana.
Unaweza kununua lakini ni bahati na sibu fulani hivi.
 
Taarifa: Vodacom Tanzania wameongeza muda wa zoezi la kuuza hisa kwa kipindi cha wiki tatu(3) hadi kufikia tarehe 11/05/2019.
Hii itawawezesha Makundi,taasisi na watu mbalimbali walioomba kuongezwa kwa muda, kupata nafasi ya kununua hisa za kampuni ya Vodacom Tanzania.
b33f6f93cc10953faeb69bdfeea86dac.jpg
 
Wamefanya jambo la maana sana kuongeza muda aisee...maana itatufanya wengi kuweza kuwekeza na kununua hisa zao kwa wingi na kuweza kuumiliki na kuwa sehemu ya kampuni.viva vodacom
 
Kuongeza Muda wa kununua hisa kuambatane na kutolewa kwa elimu kwa watu wengine mikoani maana wanatamani pia kupata fursa hii kutoka kampuni kubwa ya Vodacom.
 
Elimu unaipata darani mkuu.
Kisha unapewa na cheti original.
Elimu unayoikusudia wananchi waipewe ni "wizi wa kuaminiwa"
 
Back
Top Bottom