Biashara ya daladala imeshakuwa kero

Kiyago

Member
Nov 18, 2016
79
86
Habari zenu wana JF,

Moja kwa moja kwenye mada hivi biashara ya daladala imekuwa kero huku Wilaya yetu tu ya Temeke au hata huko katika Wilaya zenu? Maana sio kwa mavyeti haya na rushwa iliyopindukia.
 
Habari zenu wana jf.
Moja kwa moja kwenye mada..Ivi biashara ya daladala imekuwa KERO huku Wilaya yetu tu ya Temeke au hata huko katika Wilaya zenu? Maana sio kwa mavyeti haya na rushwa iliyopindukia
Gomeni
 
Back
Top Bottom