Sudysoko
JF-Expert Member
- Aug 19, 2015
- 449
- 180
Mambo ya kuangalia ni kama ifuatavyo;
i). Performance ya kampuni. kampuni inafanya kazi vizuri kwa weledi na inamategemeo ya ukuaji wa kampuni kama kutanua miundombinu yake na uboreshaji wa huduma M-Pawa na M-Pesa, kuongeza huku kwa product na kukua kwa biashara zaidi ya wateja Milioni saba wa M-Pesa ni viashiria tosha kuonyesha kampuni inakua ni kampuni nzuri kuwekeza.
Unaposkia kampuni imetanua soko lake kama M-Pesa Ina mawakala takribani Elfu 89000 nchi nzima pamoja na vituo vya huduma kwa wateja inamaana ya kuwa faida ya kampuni itaongezeka na hivyo gawio linaweza kuwa kubwa na wewe kupata faida na pia bei ya hisa itaweza kuongezeka hivyo utapata faida pia pindi ukiamua uza hisa zako.
ii). Bei ya hisa na uimara wake (stable share price) kuna wakati bei za hisa hupanda hisa za Vodacom kwa wakati wote projection inaonyesha uimara ni nzuri kwa maana hazitashuka sana au mara kwa mara na pia zina tabia za kuongezeka.
iii). Wakati wa kununua hisa . Huu ni wakati ambao Vodacom ndio wanaingiza hiza zao na maranyingi kwa mara ya kwanza kwenye soko la hisa bei huwa ni ndogo sana na baada ya hapo mara nyingi bei huongezeka ingawa kuna wakati hushuka pia inategemeana na hali ya uchumi.
Takwimu huonyesha bei ya hisa hupanda kushuka kutokana na nyakati katika mwaka mfano ifikapo mwishoni mwa mwaka na mwanzoni mwa mwaka bei hushuka na kuwa ndogo zaidi ila katikati ya mwaka bei huanza kupanda kwa kasi kubwa zaidi.
iv). Uwepo wa taarifa nzuri katika Sekta kampuni au katika kampuni hiyo. Mfano imekuwa ikisikika kuwa kampuni ya Vodacom ndiyo kampuni inayoongoza katika soko la hisa kuwa na wateja zaidi ya milioni 12 itakuwa inatoa nafasi zaidi kibiashara ktk Mauzo ya data pamoja na muda wa maongezi hii zinaongeza nafasi ya kufanya kazi zaidi kibiashara haya ni mazingira mazuri.
Mfano kwa kampuni ya SWISS PORT kampuni hii inadeal na mizigo kwenye viwanja vya ndege,nafikiri taarifa ya kutanuliwa kwa uwanja wa ndege ya Dare s salaam inafahamika hivyo ni wakati mzuri kununua hisa wakati huu kwani pindi uwanja utakapokamilika basi kampuni itakuwa na biashara kubwa bei ya hisa itaongezeka na faida pia
v). Wingi wa makampuni katika soko la hisa.
Mfano kuna makampuni zaidi ya matano hii inamaana kampuni hizi za mawasiliano zinagombea wateja hii ni kwa wateja wote wale wanaowahudumia na wale wa kwenye soko la hisa hivyo bidhaa zao zipo za kutosha na bei itakuwa ya kawaida mambo ya demand na supply yatasabisha utendaji mzuri wa kampuni ukitizama mwenendo wa biashara wa kampuni ya Vodacom ni wazi idadi ya wateja unaifanya kampuni hii kuwa kivutio cha Uwekezaji.
[HASHTAG]#WekezaNaVodacom[/HASHTAG]
[HASHTAG]#KaziNiKwako[/HASHTAG]