tumebarikiwa
Member
- Dec 14, 2016
- 29
- 34
Habari ndugu zangu,
Nimedhamiria kuanza biashara ya kuuza kisamvu kilichotwangwa naomba mwenye kujua jinsi ya kukitunza kisiharibike mapema anieleweshe.
Asante