T 1984 CON
Member
- Apr 15, 2017
- 49
- 81
Habari wa ndugu, nina shida ya haraka biashara zangu zimekwama nina hitaji mkopo wa 2ml tu dhamana nina kiwanja kiko mbezi sala sala.
Nawasilisha.
Nawasilisha.
Asantee mkuu ila kuna kama mbili nmekwenda ziko mwenge wanadai wanataka leseni ya makaI sio hati ya manunuzi hawapokei wamenimaliza nguvu.Nenda benk kaka, au kwenye hizi financial institution nyingine kama faidika na kadhalika,
Sasa wee mwenzio kashasema anahitaj mkopo wa haraka ten M 2, af we unampeleka kwenye hcho kitaasisi chenu kinachotaka uanze na dolla 5 af ndo uanze kukuza. Bado hujamsaidiaPole sana jaribu l-pesa.com Hautaitaji kuweka kiwanja dhamana...ila unachotakiwa ni kujenga uaminifu kwa kukopa na kulipa kwa muda uliopangwa...nakutakia mafanikio mema
Mkuu usemacho ni kweli ila upo uwezekano wa yeye kununua alama zitakazo muwezesha kupata mkopo mkubwa kwa kadri ya mahitaji yakeSasa wee mwenzio kashasema anahitaj mkopo wa haraka ten M 2, af we unampeleka kwenye hcho kitaasisi chenu kinachotaka uanze na dolla 5 af ndo uanze kukuza. Bado hujamsaidia
Sasa hzo alama atanunua bure?,kumbka mwenzio hana pesa ndo maana anatafta M2Mkuu usemacho ni kweli ila upo uwezekano wa yeye kununua alama zitakazo muwezesha kupata mkopo mkubwa kwa kadri ya mahitaji yake
Wapuuzi sana hawa jamaaL-pesa.com siijui nataka ufafanuzi
L-pesa ni benk ya mtandaoni inayotoa huduma zote za kibenk kupitia namba yako ya simu...vile vile unaweza kupata mkopo hadi milioni 15....njoo kwenye uzi huu Je umepungukiwa na fedha? L-PESA ndio mkombozi wakoL-pesa.com siijui nataka ufafanuzi
Kama unagari njoo platinum cdt,, utapata mkopo ndani ya saa24 . Tunabaki na kadi ya gari tu... Mawasiliani 0714667579 silasHabari wa ndugu, nina shida ya haraka biashara zangu zimekwama nina hitaji mkopo wa 2ml tu dhamana nina kiwanja kiko mbezi sala sala.
Nawasilisha.
Duh kama huna gari je?Kama unagari njoo platinum cdt,, utapata mkopo ndani ya saa24 . Tunabaki na kadi ya gari tu... Mawasiliani 0714667579 silas
Riba kiasi ganiKama unagari njoo platinum cdt,, utapata mkopo ndani ya saa24 . Tunabaki na kadi ya gari tu... Mawasiliani 0714667579 silas
Siku 90 mkuu naweza kulipaUnarudisha lini? Na kiwanja kina Hati?
Hakina mgogoro mkuu na kuna ujenzi wangu unaendelea hapo nmesimama siku 4 zilizopita. Kulipa ni 90 days mkuuKiwanja hakina mgogoro?utarudisha lini