Joche8819
Member
- Dec 28, 2016
- 9
- 3
UNASTAHILI ZAIDI YA UNACHOTAMANI
Napenda kukusalimu na kukupa pole kwa mizunguko yoote ya siku ya leo... Pole mfanyakazi, pole mfanyabiashara, pole mwanafunzi, pole pia usiye na kazi lakini unajishughulisha kwa kila jambo ili kupata ujuzi zaidi, lakini pia nakusalimu wewe ambaye huna la kufanya na hutaki kutafuta la kufanya....
Nyote kwa pamoja nawasalimu sana
Siku ya leo natamani kuzungumza na wewe ndugu/rafiki yangu jambo moja ambalo ni muhimu katika maisha yetu ya kila siku...
Katika maisha kila mtu anatamani kupata kitu bora, kama ni nyumba basi ni nyumba bora, kama ni gari basi liwe bora, kama ni watoto pia wawe bora na tabia njema, kama ni shule basi iwe shule bora, kama ni kazi basi anataka iwe kazi bora...
Hakuna mtu asiyetaka kitu kizuri katika maisha yake ya kila siku....
Lakini lipo jambo moja natamani kukueleza au kukumbusha ni kwamba MUDA MWINGINE MAISHA HAYAKUPI KILE UNACHOKITAKA si kwamba HUSTAHILI la HASHA, ILA ni kwamba UNASTAHILI KITU BORA ZAIDI ya UNACHOKITAKA SASA
Ukishafahamu hilo, ni unabaki wakati wa wewe kufanya kila jambo kwa bidii bila kutaka njia za mkato...
Na kamwe USIACHE KUFANYA MAMBO YAKO/YA WATU KWA KIWANGO kwa SABABU HAKUNA ALIYEKUSIFIA
Maisha yanataka watu wanaofanya mambo/vitu kwa KIWANGO CHA JUU na kwa BIDII.....
ukishatambua hili hutaacha kufanya hutajali vizuizi na dhoruba za maisha, wala wanaokupinga katika njia unayoiendea... waza kwa mapana yake na tafuta wenye uzoefu na waliofanikiwa katika field hiyo....
Tafuta Maarifa kila mara..
Usiache kusoma VITABU elekezi katika Fursa unayoitamani...
Uwe na Usiku Mwema
Br. Joseph Geotham Mrema
Founder of De Conquerors Enterprises
Joche Inspirational and Motivational Inc