Naomba kufahamishwa biashara ya d9 clube trading

garson

Member
Sep 15, 2015
45
15
Kuna biashara ya mtandaoni jamaa mmoja amenieleza kuwa imewatoa wengi. Biashara yenyewe ina itwa d9 clube trading. Kama kuna mtu anaifahamu naomba anifafanulie kama haina shida yeyote
 
kuna vibao mjini vinaandikwa "parking at owners risk" sasa hyo biashara mbele kuna kibao kinasema hivyo
 
Kuna biashara ya mtandaoni jamaa mmoja amenieleza kuwa imewatoa wengi. Biashara yenyewe ina itwa d9 clube trading. Kama kuna mtu anaifahamu naomba anifafanulie kama haina shida yeyote
Mtandaoni,utalizwa wewe
 
kuna vibao mjini vinaandikwa "parking at owners risk" sasa hyo biashara mbele kuna kibao kinasema hivyo

Hiyo "parking at owners risk" umeiona mjini tu? Mashambani je? Ukame au Viwavi jeshi vikija si unabakia patupu. Kila jambo lina risks zake ndugu ! Ila wachumi wanaposema "the higher the risk, the higher the earnings" wengi hujiuliza uhalisia wake ukoje!
 
Back
Top Bottom