Tunakujengea Nyumba Hizi na Kukukabidhi kwa Tshs.32 au 26 au 15 Milioni Ndani ya Siku 50!

Drimhomz

Senior Member
Nov 30, 2016
120
80
Tunakujengea na kukukabidhi Nyumba Hizi

*** Ndani siku 50 kwa Makubaliano *** +255 657 685 268

"Ni Haki Yako Kuishi Nyumba Nzuri na Salama!"

Specifications:
* Bati Kawaida za rangi 30G
* Dari ya Gypsum
* taa ndani na Nje za urembo
* Ukuta ndani rangi Wash&Wear
na
Bafuni Marumaru Ukutani
* ukuta nje rangi Weather guard
na
Tofali zilizo chorwa
* Dirisha mbao gums yenye kioo na nondo
* milango nje mbao gums
na
ndani Hollow core
* Sakafu Marumaru
* choo cha kukaa na kuchuchumaa, sinki la kunawa mikono, treyi ya kuogea, makabati jikoni na meza dining
* kuta na msingi ya tofali, linta

* Kiwanja ni chako
* Kiwanja chako kiwe katika eneo ruksa kwajili ya makazi

==> Waweza jenga hadi kwa awamu tatu*

Msingi
Kuta
Paa____________________________AWAMU No. 1
Milango na Madirisha
Bomba na Mashimo____________AWAMU No. 2
Umeme
Finishing_______________________AWAMU No. 3

*** Makubaliano yote kwa njia ya mkataba wa kisheria
*** Gharama yaweza kupanda kiasi Kutegemea na hali ya KIWANJA na UDONGO
*** Gharama yaweza shuka kama baadhi ya vitu vitapunguzwa

==> Au upo busy na kazi na majukumu?
na
Unataka kilicho bora?
na
Ikutoshe na familia yako?
na
Kwa Gharama Nafuuu?

==> Huna haja ya kuumiza kichwa juu ya Usimamizi

==> Ujenzi na Usimamizi chini ya wataalamu Wahandisi

==> Kila kitu kwetu na Kujenga katika ubora

==> Wewe unawajibika tuu
- kiwanja kilicho sehemu ya makazi
- mtaji wa pesa cash
- kupangilia ulinzi site

+255 657 685 268


Untitled145.jpeg
 
Nimependa hii...mnapatikana wapi?
Karibu sana

Tunajenga popote Tanzania

Tunapatikana Dar es Salaam, Tegeta

Everything is intelligently designed and calculated

Agreements are under LAWYER'S contract

Ni Haki Yako Kuishi Nyumba Nzuri!

+255 657 685 268
 
Back
Top Bottom