kingzeddy
Senior Member
- Aug 20, 2015
- 185
- 201
Ndugu zangu hii ndo mitaaji niliyo waza siku ya leo na nyie pia mtaongezea mingine na baadhi ya marekebisho kidogo ili tuwekane sawa ;
1. Mtaji wa kibinadamu. Huu ni mtaji wa kwanza unayemhusisha yeye kama binafsi atajitumiaje kupata pesa, kwa uwezo wake kwa kutumia akili, nguvu na maarifa aliyozaliwanayo mfano mbinu na jinsi ya kutumia Stadi ( skill kupata pesa , Elimu ( Eduction) kupata pesa.
· Kutumia uzoefu.
· Kupata pesa kwa kutumia kujulikana ( sifa) ama heshima.
· Kwa kutumika tabia ujuzi ulionao kutengeneza pesa.
· Kutumia Uaminifu kupata pesa.
2. Mtaji wa kijamii. Jinsi ya kutumia inayokuzunguka kupata pesa kama vile
· Uhusiano, kutumia ndugu, jamaa na marafiki kupata pesa.
· Network (mtandao) jinsi ya kutumia watu, taasisi, kampuni, au serikali kupata kijasiriamali.
· Maadili na tamaduni zenu au watu wengine kujipatia pesa kijasiriamali .
· Mshikamano na watu au dunia kupata pesa kijasiriamali
3. Mtaji wa thamani maalumu mfano ardhi, Majengo, mito, n.k kutengeneza pesa kijasiriamali.
4. Mtaji wa kifedha yaani kutumia Pesa ( cash money)kupata pesa, pesa kuzalisha pesa. Pesa kununua pesa. Pesa kuita pesa kijasiriamali.
5. Mtaji wa kitecknolojia, kutumia tecknolojia unayomiliki kujitengenezea pesa kijasiriamali
6. Mtaji wa kitamaduni ya kutumia utamaduni kujipatia pesa kijasiriamali.
7. Mtaji wa siasa , kutumia nafasi jina, sifa na uwezo wa kisiasa kujitengenezea a lot of money kijasiriamali.