Usafirishaji wa mazao ya kilimo kutoka mikoani kwenda Dar

eddy king

JF-Expert Member
Apr 1, 2016
559
1,218
Heshima yenu wakuu,

Tafadhali kwa yeyote mwenye uzoefu na usafirishaji wa mazao ya chakula kutoka mikoani kwenda Dar mfano viazi au matunda matunda, kuhusu ushuru, vikwazo vikwazo njiani na nini hasa natakiwa kuwa nacho kuepuka usumbufu njiani mpaka mzigo unafika.
 
Unapita barabara gani? kama n hii ya Mbeya, hakikisha huwek lumbesa au gunia halizid kilo 100, mikumi pale mizan kuna wazee wa vipimo, n mtihan...

Hakunaga swala la vibali,

Ushuru inategemea mazao yanatoka wapi, kama yanatoka shamban, watu wa ushuru utakutana nao huko huko, wana mageti yao, maeneo mengine serikal za vijiji zinakusanya zenyewe
 
Barabara ni hii hii ya mbeya dar, shukran sana kiongozi kwa muongozo wako!!
 
Back
Top Bottom