hussein boxer JF-Expert Member Dec 21, 2013 831 334 Apr 25, 2017 #1 Huku pande za moshi unga kilo moja ni 2200, sukari kilo moja ni 3000 na mchele kilo moja ni shilling 2000 hebu tupia na wewe bei ya huko ulipo
Huku pande za moshi unga kilo moja ni 2200, sukari kilo moja ni 3000 na mchele kilo moja ni shilling 2000 hebu tupia na wewe bei ya huko ulipo
G glory to yhwh JF-Expert Member Jul 11, 2013 1,026 1,397 May 7, 2017 #2 Hapa nilipo unga 1500, na mchele grade ya juu kabisa, 2000 iyoiyo
G glory to yhwh JF-Expert Member Jul 11, 2013 1,026 1,397 May 7, 2017 #3 Vipi nikuletee unga huko? Niko kanda ya ziwa
SpiderThy Member Dec 12, 2016 88 71 May 7, 2017 #4 Moro town mchele 1600-2200, sembe 1900-2000 na sukari 2400-2600/=.
Tayukwa JF-Expert Member Dec 11, 2014 2,171 4,398 May 7, 2017 #5 Tajeni na sehemu mlipo ili tupate fursa ya kuleta biashara
MC RAS PAROKO JF-Expert Member Feb 14, 2013 622 602 May 7, 2017 #6 Unga 2300, mchele 2200 sukari 2800-3000 Mugumu/serengeti