autonomius
Member
- Jun 24, 2016
- 12
- 10
Wakuu naomba ushauri ajira nataka nikajaribu kuomba dili kwenye yard za magari niwe natafta wateja kwa kupost picha na specifcation zake
....then nikpata mteja nampeleka wakipatana nakatiwa percent kidogo...maana ajira ngumu...naomba ushauri kwa wenye uzoefu na biashara ya mtandaon......AHSANTEN