BoT yaifuta Benki ya FBME Tanzania kwa kutakatisha Pesa (Money Laundering).

MeinKempf

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
11,094
7,225
Habari kwa beki kuu ya Tanzania (BoT) baada ya kusikia maamuzi ya kuifuta benki ya FBME baada ya kubainika kuwa ilikuwa ikijihusisha na Biashara ya kutakatisha Pesa haramu (kuingiza Pesa haramu/zisizo halali) kwenye mfumo rasmi wa mzunguko wanpesa,

hiyo imefuatia hatua ya kuiweka chini ya uangalizi Maalumu benki hiyo ili kuifatilia mienendo yake toka mwaka 2014 mpaka leo 8th May 2017.

Imeifisi hiyo benki (bank insolvency) na sasa zinaandaliwa hatua za kuwarejeshea mpunga wao wana his a.

More updates to come ...
 
Back
Top Bottom