Benki gani naweza kuweka pesa nikiwa nje ya nchi

Habari wanajamii,

Mimi ningependwa kujuzwa sijui ni bank gani ambayo ninaweza kuweka pesa nikiwa nje ya nchi zikaingia moja kwa moja kwenye account yangu Tanzania mwenye ujuzi wapendwa naomba tushee ujuzi.

Wakuu asanteni

Ilitakiwa kabla hauja ondoka ufungue account visa card ambayo inatumika ndani na nje ya nchi au zile card za OP onle purchase.
 
Habari wanajamii,

Mimi ningependwa kujuzwa sijui ni bank gani ambayo ninaweza kuweka pesa nikiwa nje ya nchi zikaingia moja kwa moja kwenye account yangu Tanzania mwenye ujuzi wapendwa naomba tushee ujuzi.

Wakuu asanteni
Mkuu, kama uko India nadhani Bank of India, BAnk of Baroda na I & M Bank zitakufaa zaidi. Gharama za kutuma kuja kwenye account yako ni nafuu zaidi. Kikubwa fungua account kabisa kabla hujaondoka, the rest is history!!
 
KCB Bank wana huduma ya Diaspora account....unafungua account ukiwa huko huko na pesa inaingia TZ....kufungua account Ni unawapa copy ya passport yako....for more details please visit there website!!
SOMA HAPA CHINI..

Qualifying Criteria
•Must be a Tanzanian living/studying abroad
•Tanzanian Passport
•Notarized documentation done by the Embassy, Notary Public, current banker
•Proof of income
•Utility bill/bank statement
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom