Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Huku pande za moshi unga kilo moja ni 2200, sukari kilo moja ni 3000 na mchele kilo moja ni shilling 2000 hebu tupia na wewe bei ya huko ulipo
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau, Hiki kitu nimekuwa nacho moyoni nadhani huu ni mwaka watatu sasa, Kwa tuliowengi tunajua Malengo ya kuanzishwa kwa SOKOINE UNIVERSTY - MOROGORO ni nchi iwe na wataalamu wakutosha wa...
2 Reactions
43 Replies
7K Views
Jamani mimi nipo ktk kuandaa Sisal Agribusiness Project. Project duration ni twelve years. Nimesha identify cost zote na benefis. Pia nishaandaa Projected Cashflow statement ya mradi huo...
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish This pair went sideways from Monday to Wednesday, and then started rising upwards on Thursday, in the context of an...
1 Reactions
1 Replies
578 Views
Mambo vipi wadau,mwaka jana niliwahi kusikia mihogo ni dili mara mchina kaja kununua sijui iliishia wapi. Coz kuna mahali nina mashamba yangu nataka nijue kama inalipa nianze kuwa bize na kilimo...
0 Reactions
0 Replies
754 Views
UNASTAHILI ZAIDI YA UNACHOTAMANI Napenda kukusalimu na kukupa pole kwa mizunguko yoote ya siku ya leo... Pole mfanyakazi, pole mfanyabiashara, pole mwanafunzi, pole pia usiye na kazi lakini...
1 Reactions
1 Replies
849 Views
Habari wanawajasiriamali wanauchumi na wafanyabiashara wa jukwa hili pendwa na watu makini. Je naweza kupata mtu ambae anakopesha kwa riba au au mwenye info zozote za upande wa hitaji hilo, kama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
IPO ya Vodacom Tanzania imeongezewa muda wa wiki tatu baada ya kushindwa kupata wanunuzi wa hisa hizo. Watanzania sasa wana mpaka May 11 kununua hisa za Vodacom. Vodacom Tanzania Gets Go Ahead...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, Nimedhamiria kuanza biashara ya kuuza kisamvu kilichotwangwa naomba mwenye kujua jinsi ya kukitunza kisiharibike mapema anieleweshe. Asante
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Naomba kufahamu kuhusu huu uwekezaji...tafadhali,hivi 1 square metre ya ardhi ukiambia inauzwa shillingi 5000,inakuwa ina ukubwa gani? na katika kupimwa au kuongezewa inaongezeka vp? mfano mimi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana JF wenzangu, Mimi ni mjasiriamali takribani miaka kadhaa sasa, nafanya biashara ya stationaries na biashara zingine zinazolingana na hiyo hapo juu. Lengo la kuandika Uzi huu ni...
3 Reactions
27 Replies
5K Views
Nimekuwa nikifatilia kwa miezi kadhaa dhamani ya shilingi ya Tanzania dhidi ya Dollar ya Marekani, nikagundua kuwa benk zina rate ambazo ni tofauti sana na rate za Bureau de change.. kwa mfano...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
AUS200 Dominant bias: Bullish This market is bullish as well as volatile. Price swung wildly upwards and downward in April, and it has started pulling back again this week (all in the context of...
0 Reactions
0 Replies
471 Views
Kuna watu wamenishangaza sana, wanakimbilia kuchukua mikopo benki ili wakanunue hisa. Najiuliza haya mawazo watu huwa wanayatoa wapi? Wanayo tabia ya kujielimisha binafsi kabla ya kuchukua...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Wasalaaaaaaam Wanajamvi Leo nimeona nifunguke kwa upande huu, kama “heading” yangu inavyosema ili kusaidia wanajamvi wenzangu kuondokana na hali hii ngumu ya kimaisha ambayo kwayo sisi watanzania...
19 Reactions
68 Replies
54K Views
Mambo ya kuangalia ni kama ifuatavyo; i). Performance ya kampuni. kampuni inafanya kazi vizuri kwa weledi na inamategemeo ya ukuaji wa kampuni kama kutanua miundombinu yake na uboreshaji wa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
GOLD (XAUUSD) Dominant Bias: Bullish Gold is bullish in the long-term and bearish in the short-term. Price went upwards from April 3 to 17, and then began to be corrected lower. The lower...
0 Reactions
0 Replies
556 Views
Habarini wadau, Pia poleni wale ambao mmepoteza ajira zenu kwa sababu ya vyeti huku wenzenu "wanaojua kusoma na kuandika" wakiendelea kula mshahara mnono kwa kutumia vyeti vya wengine. Back to...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Habari zenu wana JF, Moja kwa moja kwenye mada hivi biashara ya daladala imekuwa kero huku Wilaya yetu tu ya Temeke au hata huko katika Wilaya zenu? Maana sio kwa mavyeti haya na rushwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…