Tunakujengea na kukukabidhi Nyumba Hizi
*** Ndani siku 50 kwa Makubaliano *** +255 657 685 268
"Ni Haki Yako Kuishi Nyumba Nzuri na Salama!"
Specifications:
* Bati Kawaida za rangi 30G
*...
Habari wana JF.
Wakuu nimepata wazo la kuendesha shindano la mawazo ya biashara humu ndani. Wazo limekuja baada ya kuona wengi tuna mawazo ila hatuna mtaji. Hivyo mwenye wazo bora akiibuka...
Wakuu naomba ushauri ajira nataka nikajaribu kuomba dili kwenye yard za magari niwe natafta wateja kwa kupost picha na specifcation zake
....then nikpata mteja nampeleka wakipatana nakatiwa...
Ndugu zangu hii ndo mitaaji niliyo waza siku ya leo na nyie pia mtaongezea mingine na baadhi ya marekebisho kidogo ili tuwekane sawa ;
1. Mtaji wa kibinadamu. Huu ni mtaji wa kwanza...
Kuna biashara ya mtandaoni jamaa mmoja amenieleza kuwa imewatoa wengi. Biashara yenyewe ina itwa d9 clube trading. Kama kuna mtu anaifahamu naomba anifafanulie kama haina shida yeyote
Ndugu wa JF, hususani wajasilia mali na wachumi naileta hoja yangu hiyo mbele kwa msaada wenu.
Nahitaji mkopo wa 1,000,000/= kabla ya Alhamisi ijayo.
Nipo tayari kwa riba ya hadi 10%-20% kwa...
Tunakujengea na kukukabidhi Nyumba Hizi
*** Ndani siku 50 kwa Makubaliano *** +255 657 685 268
"Ni Haki Yako Kuishi Nyumba Nzuri na Salama!"
Specifications:
* Bati Kawaida za rangi 30G
*...
Wadau,
Hiki kitu nimekuwa nacho moyoni nadhani huu ni mwaka watatu sasa,
Kwa tuliowengi tunajua Malengo ya kuanzishwa kwa SOKOINE UNIVERSTY - MOROGORO ni nchi iwe na wataalamu wakutosha wa...
Jamani mimi nipo ktk kuandaa Sisal Agribusiness Project.
Project duration ni twelve years. Nimesha identify cost zote na benefis. Pia nishaandaa Projected Cashflow statement ya mradi huo...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
This pair went sideways from Monday to Wednesday, and then started rising upwards on Thursday, in the context of an...
Mambo vipi wadau,mwaka jana niliwahi kusikia mihogo ni dili mara mchina kaja kununua sijui iliishia wapi.
Coz kuna mahali nina mashamba yangu nataka nijue kama inalipa nianze kuwa bize na kilimo...
UNASTAHILI ZAIDI YA UNACHOTAMANI
Napenda kukusalimu na kukupa pole kwa mizunguko yoote ya siku ya leo... Pole mfanyakazi, pole mfanyabiashara, pole mwanafunzi, pole pia usiye na kazi lakini...
Habari wanawajasiriamali wanauchumi na wafanyabiashara wa jukwa hili pendwa na watu makini.
Je naweza kupata mtu ambae anakopesha kwa riba au au mwenye info zozote za upande wa hitaji hilo, kama...
IPO ya Vodacom Tanzania imeongezewa muda wa wiki tatu baada ya kushindwa kupata wanunuzi wa hisa hizo.
Watanzania sasa wana mpaka May 11 kununua hisa za Vodacom.
Vodacom Tanzania Gets Go Ahead...
Habari ndugu zangu,
Nimedhamiria kuanza biashara ya kuuza kisamvu kilichotwangwa naomba mwenye kujua jinsi ya kukitunza kisiharibike mapema anieleweshe.
Asante