Maelezo kuhusu tofauti kati ya LAPF na PSPF

OPTIMISTIC

Senior Member
Mar 12, 2011
125
20
Salaam sana wanajf

Naomba msaada wa maelezokuhusu mifuko ya jamiiya LAPF NA PSPF ili niweze kufanya maamuzi katika masuala yafuatayo:

1. Kuna tofauti ipi katika makato na mapato "benefits" kati ya mifuko hii miwili tajwa na ikiwezekana ninaomba na breakdown ya ukokotoaji wa mapato

2. Mimi kama mfanyakazi wa serikali ambaye nimeanzia kwenye serikali za mitaa kuna uwezekano wa kubadili baada ya kuhamia serikali kuu?

3. Kama kuhamisha account kutoka mmoja kwenda mwingine unatumia utaratibu gani?

Nashukuru sana na nawatakieni kazi njema
 
PSPF ni kwaajili ya wafanyakazi wa Central gvt na executive agencies.

LAPF ni kwaajili ya wafanyakazi wa Local gvt!

Mifuko yote hii imefanana kwa kila kitu na wanatumia formula moja wakati wa kukotoa mafao!
Huwezi kuhama, mpaka hapo SSRA watakapotoa muongozo!
 
Nashukuru sana kwa maelezo, kama formula na mapato yao yako sawa then hakuna haja ya kuhama.
Once again thanx
 
Uzushi upo PPF na NSSF sijui formula zao ziliandaliwa na nani maana unapocalculate almost bingo yote unawaachia du
 
Mwenye kujua formula za kukokotoa kupata pesa wakati wa kustaafu atume apo
 
asnte nimewiwa kuchangia mada hii inanuhusu bcause ni mwaka social protection. kiufupi you mifuko ya hifadhi ya jamii kwa sasa yangu 2015atumia fomula moja kwa mifuko yote .n.a. fomula you inawahusu wale wote walioajiliwa julay 2015.
 
ila kwa waliajiriwa 2014 kurudi nyuma kila ndiko ulikuwa n.a. fomula yake . kwa pspf unapata 50%kama lumsum.n.a. 50%monthly pension.ila fomula zinatofautiana kwa mifuko kwa wafanyakazi walioajiliwa 2014 kurudi nyuma
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom