Habari wadau..
Nimeguswa sana kupata humu jamvini mentor wa kilimo, ufugaji na sasa forex bwana ontario..Pia kina Makirita amani anatoaga thread nzuri sana humu..
Sio personal wadau ni mimi tu kuna swali moja kichwa changu kinajiuliza. Je kuna mfanyabiashara yupo tayari kuvujisha siri za kupiga hela kama akiigundua kabla yeye hajawa au na hata akiwa bilionea??
Ninaamini kila binadamu ni selfish by nature... mtu ambaye akupe vitabu, akilipie ukumbi, na awalipe wafundishaji bila yeye kupata chochote kweli..Hapo si itakuwa tunamnyonya maana hata kanisani tunatoa sadaka..Ningependa nijue yeye anafaidika vipi?? au inawezekana bila yeye kufaidika..
Kama kuna malipo yeyote ni bora yawekwe wazi mapema tujiandae nayo.... maana hata motivational speaker duniani kote ni wanalipwa na wanaingiza mapato kwa kufundisha wengine...Je nipo sahihi au wrong??
Naomba mnieleze kwa hoja sio matusi