Mradi wa Bomba la mafuta kutoka Uganda - Tanzania

forex

Senior Member
Jun 15, 2017
197
178
Mradi wa Bomba la mafuta kutoka Uganda- Tanzania, Tanga unaweza kwenda sambamba na Mradi wa maji safi kutoka mto Kagera. Kwa kufanya hivi tutapata unafuu wa gharama za Mradi wa maji safi na ya uhakika!

Mjadala upo mezani kujadiliwa!
 
Back
Top Bottom