Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Mimi naitwa Obadiah, jinsia mwaname, jamani naomba ushauri na experience ya kununua gemstones Tanzania na kupeleka kuuza Canada kwasababu nina VISA ya Canada na nimetafuta VISA because nataka kuwa...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Nahitaji kiasi cha kuanzia laki sita. Nina business idea lakini sina wa kunishika mkono.am alone. Kinachonikwamisha ni mtaji tu Mimi ni mwaminifu tutaandikishana then tutapatana kiasi cha...
1 Reactions
36 Replies
7K Views
habari zenu wana JF, Kijana mwenzenu nimefikiria bishara tajwa hapo juu ili kuweza kujikwamua na hali hii ngumu ya uchumi, Nina Kaeneo kangu ambako Nimeshindwa kukaendeleza kutokana na hali ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
1. Kamwe usiamke mapema wala usiwaze maendeleo waza ngono muda wa kuamka kama huna usingizi ingia FB au insta, endelea kulala na kujinyosha mpaka pale njaa itakapokuuma. 2. Kamwe usipange jinsi...
12 Reactions
32 Replies
3K Views
Wanabodi, Sina haja ya kuelezea faida na changamoto za mikopo, wakopaji wanazo faida na changamoto za marejesho, wakopeshaji nao wanazo faida na changamoto za kukusanya marejesho. Lengo la...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Ni habari za kusikitisha lakini lazima tuzisikie na kujua jinsi ya kutatua matatizo yetu. Kulingan na The Guardian gazeti la leo 2/10/2017, mauzo ya bidhaa za viwanda vyetu kwenda nje ya nchi...
3 Reactions
75 Replies
5K Views
Nimefuatilia mazungumzo ya RC Dar kuhusu kuwataka wauza magari kuhamia Kigamboni eneo la Kibada kwa maelezo kuwa wanapatiwa viwanja bure. Hiyo itakuwa ni hatua nzuri ukizingatia ameahidi mbele...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
D9 CLUB NI KAMPUNI YENYE WATAALAMU WA KUNUNUA NA KUUZA HISA HASWA ZA MICHEZO (SPORTS TRADING) SPORTS TRADING ni biashara ya kuuza na kununua hisa za michezo kimataifa ambapo mwanachama anapata...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Sisi vijana mara nyingi tunapoanza pirika za kutafuta maisha hujikuta tunaingia katika biashara kutokana na msukumo au uhamasishaji wa marafiki ,jamaa ama ndugu zetu ambao wametangulia katika...
6 Reactions
8 Replies
6K Views
Habari za leo wakuu! Maxmalipo wameanzisha application yao inayoitwa Smartmalipo application ambayo unaweza ku-install na kufanya registration kuwa wakala wa maxmalipo kupitia hiyo application ya...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Habari wadau nimejiuliza sana hivi shilingi 5,10 na 20 kupotea mataan nina weza kusema nina miaka kama mitatu sijaziona hela hizo na sijaona tangazo la serikali au BOT kuziondoa kwenye matumizi...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Khabari wadau... Swali langu ni fupi .. je kuna usajili katika kuanzisha biashara ya min restaurant ya chakula.. kama chips.. wali.. n.k..kama ipo njia ni zipi na certificates za usajili ni zipi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wandugu napenda kuanza nianze kuongelea uchumi wa Tanzania kwa sasa.ripoti mbalimbali zilionesha ukuaji mzuri wa uchumi wa nchi yetu na BOT pamoja na Mh polepole kusifia ukuaji wa uchumi...
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Kama una shamba heka.1 na lina.miundo mbinu kama maji na hata umeme na still wewe ni wa kutumwa basi una tatizo kichwani mwako. How come una shamba lina maji ya uhakika na sio ya kuunga uunga na...
8 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari zenu friends hivi biashara ya tigo rusha inalipa? na kwa mtaji wa 100,000 faida inafika shngapi!
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Kama mtaalamu mdogo sana katika maswala ya uchumi kuna vitu nilikuwa navingojea ili niweze kutoa mtazamo wangu na nilikuwa nafuatilia kidogo kwa mbali nikawa napata feedback kuanzia mwezi wa tisa...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari ya kutwa wanaharakati. Nahitaji leseni ya biashara naomba kujua utaratibu ukoje mpaka napata leseni. Tin number tayari ninayo
0 Reactions
8 Replies
5K Views
It worth sharing the following SAYING of the Late Dr Myles Munroe; a man of wisdom. He was quoted as saying: I was born poor, sleeping on the floor with cockroaches and rats. Today, I own my own...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Helloo wa ndugu kati ya watu wabishi na mimi nimo lakini kuinvest kwenye biashara hii kweli nilijitoa mhanga na saivi nitakuwa nina uhakika wa kulaza zaidi ya sh 70000 kama faida per day kwa...
9 Reactions
27 Replies
6K Views
GOLD (XAUUSD) Dominant Bias: Bearish Early in September, Gold went upwards to reach a high of 1357.14 on September 8. Since then, Gold has lost at least, 8,200 pips, creating a huge Bearish...
1 Reactions
2 Replies
570 Views
Back
Top Bottom