PIGANA NA UMASKINA NA NJAA KWA KUTUMIA SUPER GRO:
ANGALIZO:
Super gro hutumika sambamba na mbolea pamoja na dawa ya kuua wadudu.
Super gro ni bidhaa maarufu sasa duniani na hasa nchi za Afrika...
Wanajamvi nisaidien kuna mtu ananishawish aniunganishe kweny hii biashara ya mtandao mm mwenyew siielew vizur ila ananiambia unapata mafanikio haraka na malengo yake ni kwaajil ya kupunguza...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
Last week, a bullish breakout in this market put an end to the neutral bias on it, which was in place from June 12 to...
Mimi ninayo hisa 3500 katika CRDB na hisa 3500 ktika NMB. Leo nimepata taarifa kwenye simu ya ngu kuwa nimepata Tshs. 565,000 kama Gawio toka NMB lakini hisa hizo hizo kutoka CRDB nitapata...
Wakuu salaam Nyingi ziwafikie.
Natumai mu wazima wa afya.
Kuna fursa nimeiona huku maeneo yetu ambayo naamini itanisaidia kupata hela ya matumizi madogo madogo ila nakwamishwa na suala la Capital...
Habari JF members.
Naomba msaada kwa yeyote anaefahamu kuhusu soko LA hisa, namna ya ufanyaji kazi na maelezo kuhusu hio. Hata kama kwa uchache nitashukuru. Karibuni sana.
KUNA MDAU AMENIAMBIA KUWA KODI YA MAGARI AMBAYO IMESAMEHEWA NA TRA NI KODI YA MAGARI MAPYA NA SIO YA ZAMANI YAAN WENYE MADENI YAPO PALE PALE
JE WANA JF NAOMBENI KUJUZWA KODI IPI HASWA AMBAYO...
Licha ya uhakiki wa watumish kuendelea kila cku takriban benk nyingi zilisitisha mikopo kwa watumish.
Ninachotaka kuuliza kutoka kwenu Je! Fursa ya mikopo kutoka benk za CRDB na NMB kwa watumishi...
Baada ya bei ya mafuta kusuasua duniani Angola ambayo ni moja ya nchi zinazozalisha mafuta kwa wingi Afrika, sasa imeamua kujitika katika kilimo cha ndizi ili kujipatia fedha za kigeni. Tutatazama...
Duh kweli hii nchi inaliwa na wenye nchi katika hali isiyokuwa ya kawaida askari wasio na idadi
walitanda airport nzima bila kujua nini kinaendelea kila ukipita askari na mtutu nikajiuliza mama...
STORY HIGHLIGHTS
The Dar es Salaam Port provides a gateway for 90% of Tanzanian trade and is also the access route to six landlocked countries including Malawi, Zambia, Burundi, Rwanda, and...
Wadau wa Jf naombeni mnisaidie nataka nianzishe jarida maalum la burudani na mziki. Wapi naweza kupata huduma ya gharama nafuu ya kuprint jarida hilo. Nategeme kutoa nakala 5000 awamu ya kwanza...
Wakuu nianze na salam
Nina mtaji wangu wa tsh 7,000,000/= na eneo ninalokaa hakuna gym yoyote na watu wenye uhitaji wa gym ni wengi mno...ningependa nianzishe gym centre ila tatizo sina uzoefu...
Guyz nmesikia et kuanzia jana tar 01 huwezi pata lesen ya biashara mpaka uwe na efd machine ambayo utaiperela tra tjen wakupe tin na vrn kisha uende ukachukulie lesen ya biashara halimashauri. Je...
Katika kutembelea mtandao wa facebook,nimekutana na hii shauri,ameiandika MAKIRITA AMANI nikaona niilete hapa kuna kizazi kinaweza kunasuka kwenye lindi la aibu ya kuanza na ulicho nacho...
Wanajukwaa habari, nimekuwa nikijiuliza, hizi taasisi za serikali mbona ziko kimya sana, wakati.ndizo.zenye jukumu la kumlinda mlaji wa mikopo hii ya kwenye simu kutoka tigo na airtel ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.