Wafanyabiashara 2,900 kuhama soko kuu la Kariakoo

WAONDOKE WANAMTISHIA nani????......Kila siku stori zile zile tu.....hizi propaganda za kipuuzi kila kukicha zimetuchosha sasa....
Waliokuwa wanafanya biashara isivyo halali ndio wanaolilia kila siku MAANA WALIZOEA MKATO MNO NA KUIGEUZA NCHI HII SHAMBA LA BIBI.......nendeni uko mnapotaka mnapoona kuna UNAFUU WA MAISHA mtutolee nuksi zenu hapa......kwani uwepo wao kwa sasa umetupa UNAFUU UPI WA MAISHA??/na wakiondoka watatupa unafuu upi au UGUMU upi wa maisha???
Mtuachie nchi yetu tutengeeneze wafanyabiashara wa kesho wenye mapenzi mema na NCHI YETU......
Kwa akili zenu nusu kwani KKOO INA WAFANYA BIASHARA 2900 TU...?????A HIZI ZOTE NI PROPAGANDA..maana akili zao zinawaaminisha wao ndio wangekuwa wameishika NCHII hii MAMBO yangetuendea sawia na TANZANIA ingekuwa mfano wa kuigwa DUNIA nzima....
 
WAONDOKE WANAMTISHIA nani????......Kila siku stori zile zile tu.....hizi propaganda za kipuuzi kila kukicha zimetuchosha sasa....
Waliokuwa wanafanya biashara isivyo halali ndio wanaolilia kila siku MAANA WALIZOEA MKATO MNO NA KUIGEUZA NCHI HII SHAMBA LA BIBI.......nendeni uko mnapotaka mnapoona kuna UNAFUU WA MAISHA mtutolee nuksi zenu hapa......
Mtuachie nchi yetu tutengeeneze wafanyabiashara wa kesho wenye mapenzi mema na NCHI YETU......
Unaweza kuta wewe ni mtumishi wa umma.
Hivi unajua mishahara yenu ya mwezi wa pili ilikopwa wapi?
 
nimefuatilia hiyo link, mbona kaliakoo kweupe kabisa bila watu?

ha ha ha ha ha ha!
nchi kwishaaaaaaaaaa!
 
tayari ccm imepoteza kura 2900 za wafanyabiashara, kura 5000 za wanafamilia wa wafanyabiashara na kura 10000 za wafanyakazi wa wafanyabiashara hao
 
WAONDOKE WANAMTISHIA nani????......Kila siku stori zile zile tu.....hizi propaganda za kipuuzi kila kukicha zimetuchosha sasa....
Waliokuwa wanafanya biashara isivyo halali ndio wanaolilia kila siku MAANA WALIZOEA MKATO MNO NA KUIGEUZA NCHI HII SHAMBA LA BIBI.......nendeni uko mnapotaka mnapoona kuna UNAFUU WA MAISHA mtutolee nuksi zenu hapa......
Mtuachie nchi yetu tutengeeneze wafanyabiashara wa kesho wenye mapenzi mema na NCHI YETU......
Kwa akili zenu nusu kwani KKOO INA WAFANYA BIASHARA 2900 TU...?????A HIZI ZOTE NI PROPAGANDA ZA WAATHIRIKA WA UKOSEFU WA VIROBA (UKOVI) wa makao makuu UFIPA......maana akili zao zinawaaminisha wao ndio wangekuwa wameishika NCHII hii MAMBO yangetuendea sawia na TANZANIA ingekuwa mfano wa kuigwa DUNIA nzima....
Kenge huwa hasikii mpaka damu imtoke masikioni
 
WAONDOKE WANAMTISHIA nani????......Kila siku stori zile zile tu.....hizi propaganda za kipuuzi kila kukicha zimetuchosha sasa....
Waliokuwa wanafanya biashara isivyo halali ndio wanaolilia kila siku MAANA WALIZOEA MKATO MNO NA KUIGEUZA NCHI HII SHAMBA LA BIBI.......nendeni uko mnapotaka mnapoona kuna UNAFUU WA MAISHA mtutolee nuksi zenu hapa......kwani uwepo wao kwa sasa umetupa UNAFUU UPI WA MAISHA??/na wakiondoka watatupa unafuu upi au UGUMU upi wa maisha???
Mtuachie nchi yetu tutengeeneze wafanyabiashara wa kesho wenye mapenzi mema na NCHI YETU......
Kwa akili zenu nusu kwani KKOO INA WAFANYA BIASHARA 2900 TU...?????A HIZI ZOTE NI PROPAGANDA ZA WAATHIRIKA WA UKOSEFU WA VIROBA (UKOVI) wa makao makuu UFIPA......maana akili zao zinawaaminisha wao ndio wangekuwa wameishika NCHII hii MAMBO yangetuendea sawia na TANZANIA ingekuwa mfano wa kuigwa DUNIA nzima....
Kodi wanazolipa ndizo Bashite anazotumbua huko kwa Zuma na kujenga maghorofa na kununua apartment na magari ya kifahari.
 
Kwahiyo mleta mada unalalamika bei ya nyama kushuka ama nini
 
Back
Top Bottom