Naombeni faida za kufungua business accounts

Mar 11, 2017
25
8
Wadau wa biashara,

Naombeni msaada wa umuhimu au faida nitakazozipata kwa kufungua business account yan akaunti ya biashara benki ila kabla ya hilo je naweza kufungua as a personal? Yan binafsi au ni kampun ndo ina sifa ya kufungua business account?

Msaada kwa mwenye kuelewa hili.
 
mhn! kuna gharama ya kuendesha accaount hii japo sio kubwa kivilee ukilinganisha na manufaa yake baadaye na hasa unaposhindania biashara au kutaka mkopo kwa biashara yako.
 
Back
Top Bottom