Wakazi wa Dar es Salaam, nahitaji wa kushirikiana biashara

ween

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
414
129
Habari ndugi zangu,

Baada ya kutafuta kazi kwa muda mrefu bila mafanikio sasa nimeamua nifanye ujasiriamali, nahitaji mtu ambae tunaweza kushirikiana nae katika biashara hapa Dar, jinsia yoyote.

Ni pm endapo unahitaji
 
Hamna kitu hapo...Tapeli tu..!! Kwanza unaonekana utakuwa MZIGO..

Kufanya matangazo tu ya BIASHARA kunakushinda...!!
 
Back
Top Bottom