Naomba muongozo kuhusu huduma ya E-Wallet

Me Natumia Barclays Bank kwa Simu yangu unabofya namba Saba baada ya kiweka pass na kuingia menu kuu
 
Kwahiyo nikiwa na Barclays bank naweza kuhamisha kutoka E wallet mpaka kwenye akaunti yangu ya Barclays?
Yap kila kitu kinafanyika iwe kununua vocha,Kumnunulia mtu kitu,Kumtumia pesa kwa bank yake au simu n.k pia kuhamisha pesa from one account to another Account iwe ya bank yako kwenda bank nyingine yaani Mwake mwake tu.
 
Back
Top Bottom