MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,237
Ndugu zanguni
Salam sio pesa kwamba nisipo kupa hutaishi
Mwaka 2009 Mungu alinipa chombo cha moto, yani pikipiki,, (mtumba) Lakini kwa bahati mbaya Pikipiki hiyo mwishoni mwa mwaka 2011 ikawa na matatizo ya hapa na pale, nikajaribu kutengeneza ila bado ikawa inasumbua,
Mwisho kabisa nikaacha kuitumia iko Store tu.
Kuna msamalia mwema akanishauri niende TRA kuweka zuio la mapato kwa ajili ya manufaa ya baadae.
Nimefika TRA nikawaeleza kwamba Pikipiki kwa sasa haitumiki kwa miaka kadhaa, yani ni km Skrepa tu.
Nikawaomba waiondoe kwenye System ya kulipia. Afisa wa TRA anayehusika amenipa jibu moja, na ktk majibu hayo kuna neno sikulielewa ameniambia hivi ITADAIWA MPAKA MWISHO WA DAHARI. Hivyo akaniomba nilipe tu kwani haina namna.