msaada wenu wanajamii...!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wenu wanajamii...!!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by OGOPASANA, Dec 26, 2010.

 1. OGOPASANA

  OGOPASANA JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 265
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Habari,
  Mimi na familia yetu tunategemea kuanzisha kampuni ya biashara mbali mbali hapo mwakani kwa uweza wake Mungu, je tunaweza kutumia jina gani la biashara?
   
 2. c

  cronique Member

  #2
  Dec 26, 2010
  Joined: Jan 25, 2009
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mheshimiwa, inategemea na biashara gani ambazo mnazo taka ku concentrate on!!
   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  ni chaguo lako...... ila itabidi jina hilo liwe halijasajiliwa tayari.... ila chochote kile ni ruksa..... Ila nashauri Jina lihusiane na biashara yenu, liwe proffessional na sio refu sana liwe liwe a bit cool..... mfano (Ebay;Mtv Mwanahawa & Sons, Wataalamu; etc) na sio the likes of (Wachakachuaji; xytvsbris company;Yahoo; Amazon;) hata kulitamka inakuwa shida...... What I mean ni kwamba jina lako liwe linahusiana na biashara yako....
   
 4. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2010
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nakubaliana na Cronique na VoR, unapofikiri jina la biashara hakikisha linaendana na biashara unayofanya, cha kuzingatia ni jina liwe fupi na rahisi kwa wateja kuweka kumbukumbu. Kwa vile baishara ni ya kifamilia inaweza kuwa busara kama mutaweza kuingiza jina la ukoo mfano Tesha Suppliers, KataviS, Michuzi Enterprises and so on.
  Vitu vengine vya kuzingatia ni soko lako linalenga wapi? kimataifa, kimkoa ama kitaifa? Endapo ni kimataifa jaribu kufanya research ili kuepuka kukopia Domain name ya biashara za watu.
  Jina lisiwe lenye matusi, mfano nyinyi ni akina To*mba lakini jina kama T*mba Care Ltd halitofaa kwenye hii biashara.
   
Loading...