Wananchi Tunajua Fedha Zinazokusanywa na Matumizi Yake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wananchi Tunajua Fedha Zinazokusanywa na Matumizi Yake?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by niweze, Dec 26, 2010.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wananchi Kweli Tumekuwa Hatufuatilii Maswala Mengi Ndio Sababu CCM Wanaendelea Kutufunga Kamba Shingoni. Uchumi Wowote Ule Hauwezi Kuimprove Kama Hakuna Information Zozote Zile Zinaletwa kwa Wananchi. Ukiangalia Nchi Karibu Zote Zilizoendelea na Zinazoendelea Duniani Wananchi Hasa Academias, Wanahusishwa Katika Discussions Ili Tutatue Matatizo Yanayoikabili Nchi Yetu. Tukiangalia Tanzania Hii Katiba Inafanya Ofisi ya Raisi Ndio Policy Makers na Sio Wananchi, This is Terrible Thing kwa Demokrasia. Haya Maswali Yanayohusu Revenues na Expenses za Nchi Tunaona Serikali ya JK Inaficha Sana Hii ni Kwa Sababu Gani? Mfano Mzuri ni Kiasi Gani TRA Inakusanya na Matumizi ya Fedha za Kodi ni Yapi? Kiasi Gani Nchi Inakopa kwa IMF, World Bank, African Bank, na Donors Wengine? Kiasi Gani Tunalipa Kila Mwaka Katika Haya Madeni. Cha Kushangaza Wapo Wananchi Hawapendezewi na Haya Maswala Ndani ya Serikali Wanakubali Kutishiwa Kufa na Wanakaa Kimya. Wananchi Tutafute Njia ya Kurudisha Nchi Yetu Mikononi Kwetu. Tunazo Nguvu na Sababu za Kufuatilia Kila Jambo.

  "Uchumi Wetu Unakufa Kutokana na Sisi Wananchi Kukubali Wachache Wafanye Maamuzi Yetu."
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Wote hatuwezi kuwa watafiti.... blame goes kwenye media zetu hazichimbi mambo na hazitupi habari.... we need more investigative journalism, maybe we are waiting for wikileaks.

  On the serious note wenzetu mtu akiwa mwandishi wa habari lakini anakuwa expert kwenye kitu fulani mfano mwana habari wa Uchumi anakuwa anajua uchumi; mambo ya sheria anakuwa na idea na sheria... business vivyo hivyo.... hapa hatuna journalists tuna ma reporter ambao they just report what happens without digging.
   
Loading...