Nahitaji toyota rav4 ya mwaka 1998-1999-2000

Sendeu

Member
Jun 29, 2009
59
0
Wadau nishaurini ni show room gan ya uhakika ambayo haichakachui naweza kupata gari rav 4 ya 1998-2000 old model
nitashukuru wadau wangu
 

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,296
0
Bei iko juu sn wakuu mimi nahitaji ya 1998 mpaka 2000 kwa bajeti yangu wadau
Jivutevute kaka uchukue ya hv, hautajutia!

hiyo ndo Rav 4 2002 model from UK,iko nchini Botswana, kama unahitaji tuwasiliane, +267 71642057 ama email: lyakudn72@yahoo.com, bei ni 15mil
paperclip.png
Attached Files
 

Neytemu

Member
Nov 7, 2010
83
0
Hii nzuri nimeipenda.kama unaweza ongeza hela uchukue ya 2002 tofauti si kubwa saaaaaaaaaaaana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom