Rich Dad
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 748
- 135
Habarini Wana JF,
Naomba mwenye kujua sifa za eneo linalofaa kwa ajili ya ku-initiate "Irrigation Scheme" katika small scale lakini, hii iwe ni kwa ajili ya mazao ya chakula na sanasana horticultural Produce.
Mfumo utakaoiwezesha jamii ya eneo husika kufaidika pia ili kuwe na uhakika wa kupanda na kuvuna Mwaka mzima pasipo kutegemea mvua, ambazo mara nyingi zimekuwa zina let down wakulima wetu pale zinapogoma.
Asanteni na ninawakilisha.