Hivi ukitaka kufanya kazi Tanzania hizo TGS na PUTS zinamaanisha nini???

eliesikia

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
787
755
Nimeona ili uwe serikaliini wana scales zao wanaita TGS sijui E,F n G pia na PUTS inayo kuanzia hapo 16-21

Samahani kwa usumbufu
 
Nimeona ili uwe serikaliini wana scales zao wanaita TGS sijui E,F n G pia na PUTS inayo kuanzia hapo 16-21

Samahani kwa usumbufu

Ukianza kazi serikalini na first degree yako Unapata TGS E kama laki tano na ushee
F kama sita na ushehe kwa wanasheria na madocta ila wahasibu TGS D kama laki nne hivi na ushehe
upo hapo mtu wangu!!!
 
Back
Top Bottom