Nyumba za tembe kilimanjaro. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba za tembe kilimanjaro.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mfamaji, Dec 23, 2010.

 1. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Katika pita pita yangu huko Kili vijijini nimefurahishwa na jambo moja. Nyumba zilizopo zinazidi hata za miji mingi kwa ubora . Halafu hakuna tembe hata moja kama zile za Dodoma , Singida n.k Watu wanaishi kama vile wako town bana . Krismas bado lakini ni shangwe tupu. Nilikutana na DALA DALA jipya limeandikwa CITY TRANS, kumbe limekodishwa kuleta watu kwao toka Dar badala ya kung'ngania mabasi japo yako mengi tuu na ya ukweli . Halafu ni wapinzani kwa kwenda mbele . Jamaa wako juu mazee . Kizuri acha kisifiwe bana ..

  Kweli nimefurahishwa. Hongereni watani zangu .WHAT THE .
   
 2. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  MIMI nilitembelea Maaneo fulani Old Moshi nikakuta Baa imeandikwa garden view na nyingine city center yaani ni majina ya kimjini mjini tu Raha jipe Mwenyewe WACHAGA bana!
   
 3. K

  Kamongo JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2010
  Joined: Mar 20, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Sifa za kijinga
   
 4. N

  Neytemu Member

  #4
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapana.Kizuri kipewe sifa yake!Kilimanjaro ipo juuuu!!!!
   
 5. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Kamongo ukweli tuseme tusiufiche Wachaga wanapaswa kuigwa katika jamii yetu
   
 6. l

  lily JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  karibu sana msee wanguee
   
 7. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #7
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Ndugu Kamongo.

  Wazungu huja Africa kufurahia uzuri uliopo na hutupa misifa kem kem na hela juu. Wabongo wakiambiwa Ngorongoro ni kuzuri wakatembelee hata bure hawataki. Kwa hiyo hao wanoisifia Ngorongoro ni ujinga? Tujifunze kuappreciate vitu vyetu tusione mabaya tuu Alaaaa?

  BTW Mbona hujawahi kutoa thanks kwa mchangiaji yo yote humu toka 2009? I can see the reason for your comment. U can'nt apprecaciate anything, negative minded , or just mean. Jitambue Broda.
  Kamongo [​IMG]

  Senior Member [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]
  Join DateFri Mar 2009Posts67

  Thanks0

  Thanked 4 Times in 4 Pos
   
 8. n

  nyantella JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  CCM Oyeeeeeeeeeeeeee!!!!
   
Loading...