Habari wakuu kuna mtu yoyote ambae ana ideas katika mambo ya security systems(cctv,fire alarms,intruder systems,access control) ,nitashukuru nikipata mawazo yake kuhusu soko la hii sector hapo...
Naomba kupewa maelezo ya kina! Hivi inawezekana kupewa mkpo na tasisi za fedha kwa dhamana ya biashara ya salloon ya kunyoa il niongeze mtaji.?Najua mabenki wanataka dhamana ya nyumba ,kiwanja nk...
mimi sijasoma biashara ila nataka sana kufanya biashara lakini nimeshindwa nifanye biashara ipi sina mtaji mkubwa ni kama one milion, nategemea eneo la biashara liwe MWANZA kwani mi ni mkazi wa...
Tunakagua matatizo ya magari aina zote,european,asian and americans kwa kutumia diagnosis tool,tupo arusha oilcom sakina kwa mawasiliano piga number 0715 367 367
Nimesikia kuna tozo kama 21 ambazo ndio zinafanya bei yetu ya mafuta inakuwa juu.
Je, kuna mtu anayo list ya tozo zote hizo na kiwango chake (amount) au asilimia zake (percentage).
Nitashukuru...
Habari
I have been thinking about starting a business importing goods into Tanzania from UK. So far I have thought about used cars/laptop. I would like some views on this from people in TZ i.e...
WanaJF
Ninapangisha sehemu mbili za biashara kwenye eneo la maduka na ofisi (BAKWATA Commercial Complex) lililopo Kinondoni Road, kwa jina lingine, Kinondoni Muslim.
Nafasi ziko mwanzoni kabisa...
Hivi kweli nchi hii inaweza kubadilika na kuwa nchi ambayo itakuwa na maendeleo ya kweli??
Nilikuwa naangalia trend ya bajeti ya mwaka huu na mwelekeo wa uchumi wetu naona ni kama vitu viwili...
Jacobsen Elektro AS, a Norwegian power engineering firm has secured a $530.6 million contract for supply and installation of power generation equipment in Tanzania.
The contract includes supply...
Mi nashangaa sana wenye nyumba wetu wanadai kodi ya mwaka mzima kutoka kwa wapangaji wao wakati sisi ama watu wengi tunategemea/wanategemea mishahara ambayo tunalipwa kwa mwezi. Sasa hela ya...
Unasubiri nini sasa..wahi haraka kwa wewe unaeitaji kusafiri hivi karibuni
kampuni hii imetoa promo ya kwenda kigali na kurudi kwa doller 350 tu tax inclusive
kwa maeleo zaidi piga 713 34 9324...
Juzi, jana na hadi hivi sasa huduma ya kutuma na kupokea fedha kwa kutumia M-Pesa imekufa "kwishney' kabisa hapa jijini Dar es salaam, na nadhani nchini kote. Kila wakala wa huduma hiyo...
Federal incentive payments are motivating physician practices and healthcare centers across the US to migrate to EHRs. And, while physicians accept the concept that EHRs will improve the level of...
David Malingha Doya
Source: Sydney Morning Herald June 10, 2011
TANZANIA, which vies with Mali to be Africa's third-biggest gold producer, may introduce a "super profit" tax on minerals similar...
Na Mwandishi wetu
10th June 2011
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wataalam Wasaidizi wa Mifugo (TAVEPA), Ephrahim Massawe, ameishauri serikali kuzitumia kikamilifu ofisi zake za balozi nje ya...
Dalili za kubaini kwamba mwekezaji si mwekezaji bali ni msanzuaji ni hizi hapa:1. Hutumia mabilioni kujisafisha na kujitakasa kwa sabuni na marashi kwa nje, lakini kwa ndani ananuka uharo na...
Tuna ambiwa kama ilivyo kazi ngumu kumpata mwenzi wa maisha ndo ilivyo ngumu kumpata mtu wa kufanya nae Business chekini hiyo nazani itawasaidia wana JF
15 Questions for People Who Are...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.