Magazine deal-Nahitaji sapoti wadau

big-diamond

JF-Expert Member
May 23, 2009
422
553
Nimeanzisha kakampuni kangu wakuu na nimeandaa magazine nzuri ambayo future prospects yake ni nzuri sana kulingana na utafiti nilioufanya so ninahitaji kuiprint, changamoto pekee niliyonayo ni pesa ya kuprint hiyo magazine yangu ambayo cost yake ni kama milioni 4 hivi. Nimeona niwaeleze wadau mwenye ushauri hata mchango au hata sehem ninayoweza pata hiyo pesa niweze fanikisha ndoto hii ya hii magazine. Kindly PM me or email humble2080@yahoo.com. Natanguliza shukran wakuu!!!!
 
Mkuu hongera kwa kufanya research kwanza sababu hio ni hatua ya kwanza.., Mkuu income ya magazeti huwa inatoka kwenye matangazo (unless gazeti lako utakuwa unliuza zaidi ya 15,000/=) hauwezi ku-break even let alone kumake profit kwa kutegemea mapato ya mauzo pekee.

Kwahiyo mkuu jambo la maana sana ni kuhakikisha kuna wadau (makampuni na biashara za watu) watakaokupa matangazo ukishawapata hao then anza kuwaza wazo la kufanya printing

Issue ya kupata 4m sio ngumu, issue ni kwamba ukishatoa issue ya kwanza utapata wapi pesa za kutoa issue ya pili?, thats why nakwambia matangazo (adverts) is the life of your magazine kama huwezi kupata matangazo then huwezi kufanikiwa..., alafu this is a catch-22 sababu mtu hawezi kukupa matangazo kama audience yako sio kubwa...
 
Back
Top Bottom