A Tanzanian Lodge Was Just Named The Best Hotel In The World

VIKWAZO

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
1,899
580
singita.jpg


Travel + Leisure just declared Singita Grumeti Reserves in Tanzania's Serengeti National Park to be the best hotel in the world.It received a score of 98.44 out of 100 on a list based on reader surveys.
The hotel, which is made up of two lodges and a tent camp, offers unparalleled
luxury
in the thick of the wild.
It is located on the migratory route traversed annually by more than a million wildebeest, providing guests with incredible photo opportunities from their bedroom windows.
Despite its remote location, Singita's guests are treated to
five-star
service and accommodations.
Rooms in the tents and villas start at around $1,095 per person per night;
rates
include daily game drives, food, and drink.

SOURCE:A Tanzanian Lodge Was Just Named The Best Hotel In The World
 
hapo ndipo mahali alipofikia bill gate alipokua tanzania
 
Just because is owned by an American Millionear?

lakini ni nzuri mkuu inafaa sifa na wawekezaji kama hawa ndio tunataka wanaweka vitu vya ukweli
mpaka na nchi inapata sifa
 
Tatizo ni kama huyo mtu angekuwa local investor wasingempamba kwenye hilo gazeti; they are damn discriminatory...

Anything good run by local won't be advertised so that investment will fail ...
 
na mbona ipo muda mrefu sana hawakuitangaza, kulala Bill Gates ghafla imekuwa mashuhuri?
 
wawekezaji kama hawa ndio mnataka na kodi vilevile waendelee kukwepa, si ndio?

tatizo la kodi sio la wawekezaji ni letu sisi watanzania, kila nchi ina wawekezaji hata marekani ina wawekezaji kutoka nje
uingereza ndio usiseme
kama TRA wanakosa uzalendo au serikali kama haina uzalendo kumlaumu muwekezaji.
isitoshe wawekezaji wengi hawataki hayo mambo ya kuchakachua ila ni sisi ndio tunawafundisha na kuwawekeza.

kwangu mimi na mtazamo wangu hawa ndio wawekezaji tunaowataka , kama jina la nchi litavuma ni rahisi hata kwa biashara nyingine kujitangaza
just common sense

NCHI KWANZA MALALAMIKO BAADAYE CHUKUA HATUA
 
tatizo ni kama huyo mtu angekuwa local investor wasingempamba kwenye hilo gazeti; they are damn discriminatory...

Anything good run by local won't be advertised so that investment will fail ...

na mbona ipo muda mrefu sana hawakuitangaza, kulala bill gates ghafla imekuwa mashuhuri?

hacheni majungu hiyo hotel hiko tanzania na sifa zake ni za tanzania

swali manchester city , macherster united au chelsea zinapofanya vizuri na kuchukua makombe sifa zinakwenda nchi gani? Au ligi gani inapewa sifa?
Kumbuka hizo team zote sio mali ya waingereza
 
na ni Wamarekani walioipa hiyo rank

Haya ni mashindano halisi na yenye uwazi hakuna kuchakachua, kuna watu wana hela na wanamiliki hotel nchi mbali mbali na wengi wao ni wamarekani, sasa kwa nini hii?

hiyo kitu ni bora na muwekezaji hakutaka kutuwekea vitu vya kubabaisha sasa tunamlaumu kwa lipi?
kuna watu wengi tu wana hela hapa Tanzania na wamewekeza lakini miradi yao wanaiendesha je? kama sio manager mtoto wa dada
na afisa utumishi mpwa.
harafu hakuna aliyezuiwa kwenda kuwekeza huko porini utalii ni biashara inayoitaji connection na viwango
 
Back
Top Bottom