Crb annual consultative meeting & exhibition 2011

Yeccotltd

JF-Expert Member
Apr 4, 2011
201
21
The Contractors Registration Board is organising a two day Annual Consultative Meeting which is to be held at Chimwaga Conference Hall - Dodoma from 21st to 22nd July 2011Kwa makandarasi walio sajiliwa ada ni Tsh 10,000/= na wale wanaotarajiwa kusajiliwa watalipa Tsh 150,000/=. Tembelea www.crbtz.org.tz!Kampuni ya Ukandarasi wa UMEME ya Yecco(T)Ltd itarusha Live kupitia hapa jf mkutano huo toka ukumbi wa Chimwaga mjini Dodoma!Contact: +255 715865544/ +255 755865544Email:yeccotltd@yahoo.comWeb:www.yeccotltd.co.tz
 
Nashukuru kwa taarifa. Vp malipo haya yanafanyika wapi? Mimi nipo dar.
Nenda pale Pamba house posta ndipo zilipo ofisi za CRB nadhani utalipia pale.Habari njema sana hakika sitakosa hii kitu, tena kulivyo na mgao hivi wacha nijiendee Chimwaga nikapate maujuzi mie!!
 
Nenda pale Pamba house posta ndipo zilipo ofisi za CRB nadhani utalipia pale.Habari njema sana hakika sitakosa hii kitu, tena kulivyo na mgao hivi wacha nijiendee Chimwaga nikapate maujuzi mie!!
Nakushukuru kwa kumpa taarifa sahihi mdau wetu hapo juu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom