YouTube - ‪America's Got Talent 2011 - Seatlle Auditions - Zuma Zuma - HD 720p‬‏
Watu wetu sie wamelala kama kawaida
kuanzia waziri to wasanii
hawa jama kesho najua wata...
Wadau naomba mawzo yenu kwa yule anayefahamu nataka kufanya mitihani ya acca mm mwenyewe bila kwenda review nisaidie jinsi ya kupata material na jinsi ya kulipia uk.mchongo wenu ni muhimu sana...
Wakuu nimekuwa nikifuatilia sana katika budget zetu, mara nyingi nimekuwa nikiona kuongezeka kwa kodi katika vyanzo vilivyopo ie Bia, Cement, Madini, Soda, Mafuta. Lakini sijaweza kuona jitihada...
Free sanitary towels for primo and seco ladies to standard gauge railway all the way to malaba infrastructure dev and not mention 100 billion allocation to boost agriculture ,did Uhuru get it...
nimetembelea eneo la nyumbani lounge kwa lady JD leo jioni-sunday.nilipitia na wife kwa lengo la kula na kunywa.around saa 12.45 jioni.hapo nje pana binti ana risit book amekaa mkao wa kutoza kodi...
Hivi huyu nicas ana nini?
huyu jamaa utafkiri si mchagga...namfaham tangu enzi za Bullet Train na lile basi lakini the brother needs to upgrade maana wateja anapata lakini bado anangangania...
Asubuhi nilimsikia David Kafulila akijenga hoja kuwa, Wakati Mkapa anaondoka madarakani makusanyo ya kodi kwa mwezi zilikuwa ni bil 200 na ushee hivi, pesa hiyo ukiibadili into $ ambayo wakati huo...
Heshima kwenu wana JF.Naomba yeyote mwenye kujua bei ya jumla ya Red bull(Case) na sehemu ninazoweza kupata Dar es salaam.Nipo mkoani na sina mawasiliano na mtu yeyote Dar.Naomba aliye na info za...
7th June 2011
Minister: We`re putting together rescue package
Peter Serukamba
The Parliamentary Infrastructure Development Committee (PIDC) has told the government to come out in public...
Vijana Dar tunatia aibu...kila mtu kavimba tumbo na watu wengi wamekuwa diabetic kwa sababu ya kula sana mafuta, nyama, chipsi, mayai, sukari nyingi na vyakula ambavyo vingi ni madhara makubwa...
Wakuu hali mbaya ya kiuchumi inaonyemelea kampuni tanzu ya Business Times Limited. Taarifa za ndani zinasema kwamba wafanyakazi wake hawajalipwa tangu mwezi wa kwanza mpaka leo. Kisa family...
By In2EastAfrica - Sat May 28, 5:32 pm
Uranium is among the newest entrant in the long litany of mineral resources to be mined in Tanzania. This venture follows the current discovery of...
Juzi tarehe 05/06/2011 ilikuwa siku ya mwisho ya maonesho ya Karibu Travel and Tourism Fair (KTTF) yaliyofanyika kwa siku tatu mfululizo ndani ya mji wa Arusha. KTTF ni maonesho yanayokutanisha...
Tafadhali wana JF naomba msaada wenu kupata nafasi kwa ajili ya biashara ya hardware hasa maeneo yanayoeleweka kwa biashara hiyo DAR kama Gerezani, Kariakoo na nje kdg Mbagala, mbezi, n.k kwa...
Welcome @ Wishope !!!!
An Authorized dealer of Digital Books and Pens!!!!
EASIEST WAY TO READ AND UNDERSTAND QURAN AS WELL KIDS LEARNING BOOKS!!!!
SELF LEARNING HAS NEVER BEEN SO EASY...
Wakongo waandamana Dar
na Mwandishi wetu
WAFANYABIASHARA na waagizaji wa magari kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), wameandamana wakiilalamikia Mamlaka ya Mapato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.