mama ntilie baadhi yenu sio wasafi,tambueni mnahudumia watu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mama ntilie baadhi yenu sio wasafi,tambueni mnahudumia watu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by qeentar, Jul 6, 2011.

 1. qeentar

  qeentar Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chapati zinazochomwa mtaani au kwenye vibanda ni bei rahisi lakini kutokana na vumbi lilokuwepo sasa hivi,ni vizuri mkatafuta hata vimeza vya kupikia au mbinu nyingine maana mnalisha watu uchafu na mkiambiwa mnakuwa wakali.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kama wale wa kigamboni maeneo ya feli ni noma wanakaanga bagia na sehemu chafu balaa.
  kitu kinachowafanya wawehivyo ni sisi walaji wakiwa wa safi tunaogopa kununua eti ni ghali..
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu ... kumbe mama nitilie pia wanaingia humu jf
   
 4. qeentar

  qeentar Member

  #4
  Jul 6, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nadhani kuna baadhi ya watu hawatambui kero zao
   
 5. M

  Malila JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Jf ni kila kitu, si umeona eeh.
   
 6. Baiskeli

  Baiskeli JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 335
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  duuh mamantilie na computer... Hahaha hii ni babkubwa.
   
 7. m

  mja JF-Expert Member

  #7
  Jul 8, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kwlei baadhi ya mama ntilie si wasafi, lakini jf hata kama wapo ni wachahche, nafikiri hii hoja ni nzuri sana , ila if we real care itafutwe namna ili ujumbe huu uwafikie na wajirekebishe , kwani walaji wa kwa mama ntilie ni wengi....
   
 8. m

  mwananyiha JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nadhani hapa tatizo ni mamlaka zinazotakiwa kusimamia suala hili hazifanyi wajibu wao wa kuwaka standard za hawa mamantilie. Pia asilimia kubwa wanakuwa na mitaji midogo ili wapate eneo zuri lazima wawe na mtaji mkubwa.
   
Loading...