Arusha Mpooooooooooooooo

Nxt Millionaire

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
406
89
If you in Arusha or anywhere nearby dont miss the 21st Century Business Opportunity Seminar at AICC Simba Hall from 10:00am, this is a never miss event for all Baby boomers and all who wants to know how to do business in the Information Age, participants from Burundi, Kenya, Uganda, South Africa, Zambia, Mbeya, Mwanza, Dodoma, Dar es Salaam, etc confirmed to attend, you can book your chance now.

For any information you can PM me or Call 0716927070
 
Who are the 'baby boomers' in Tanzania? Do I qualify to be one of them?
 
itakuwa kesho trh 9/7/2011, the only kigezo is your burning DESIRE to succeed in the 21st century.
 
itakuwa kesho trh 9/7/2011, the only kigezo is your burning DESIRE to succeed in the 21st century, kutakuwa na small fee ya tzs 5,000/-.
 
if you in arusha or anywhere nearby dont miss the 21st century business opportunity seminar at aicc simba hall from 10:00am, this is a never miss event for all baby boomers and all who wants to know how to do business in the information age, participants from burundi, kenya, uganda, south africa, zambia, mbeya, mwanza, dodoma, dar es salaam, etc confirmed to attend, you can book your chance now.

For any information you can pm me or call 0716927070

wakuu huo ni mkutano wa living forever kama mnahitaji kuuza madawa ni vizuri mhuzurie. Ila taarifa ndo hiyo ni mkutano unao kutanisha wauza living forever kutoka nchi mbalimbali za africa mashariki.
 
wakuu huo ni mkutano wa living forever kama mnahitaji kuuza madawa ni vizuri mhuzurie. Ila taarifa ndo hiyo ni mkutano unao kutanisha wauza living forever kutoka nchi mbalimbali za africa mashariki.

Mkuu, issue ni living forever au ni opportunity that goes with it? binafsi nina ndugu zangu ambao wako huko na sijawai ona wakiuza hizo dawa unazosema na si hivyo tu wametuacha mbali sana kimapato katika muda wa miaka miwili tu toka wajoin huko, it seem that it pays for those who take it seriously, I wanna join it myself very soon.
 
Opportunity zipi? za kuuza madawa ya wazungu? kwa nini tusiuze ya kwetu? Mkuu mimi niko Arusha naishi arusha hawa living forever wameisha niita sana kwenye ofisi zao pale BLUE ROCK. HII KAZI YA KUUZA MADAWA YA LIVING FOREVER NI NGUMU SANA, KUTAFUTA WATU KUWKONVISE MPAKA WANUNUE HIZO DAWA SI KAZI NDOGO.

HUO MKUTANO KAMA UNGEKUWA NI WA FURUSA KAMA ZA KILIMO, UTARII, NA VINGINE NINGEKUELEWA. LAKINI MKUTANO WENYEWE UNAHUSU STORY ZA KUUZA MADAWA YA LIVING FOREVER. NA WANALETA WATU WANATOA USHUHUDA KUMBE NI GERESHA.

MSIDANGANYE WATU HAPA ,OPPORTUNUTY ZA KIBIASHARA WAGA NI KATIKA SECTA NYINGI SASA NI OPPORTYNITY GANI HIZO ZA KUUZA MADAWA YA MAKAMPUNI YA WAZUNGU?
 
Mkuu, naelewa sana concern yako na asilimia kubwa inatawaliwa na woga ambao sote tunao kwa wakati mmoja au mwingine katika kujaribu ama kufanya shughuri yoyote mpya maishani mwetu, mi nilikuwa kama wewe, mwaka 2007 kuna jirani yangu mmoja mama wa nyumbani na Fundi Cherehani, wale wanaoshona mabarazani aliniijia na kunieleza kuhusu fursa hii, sikumwelewa, nilimwona kama chizi vile, miaka mitatu baadaye mimi niko vilevile nategemea mwisho wa mwezi, yeye sio yule fundi cherehani tena.

Amepiga hatua kubwa sana kulingana na mimi msomi ninayejua kila kitu, anamiliki nyumba za maana mbili na usafiri wake RAV 4, mi natarajia mkopo ndo nitanunua ka-Starlet Mungu akipenda, huyu ni mbali na baadhi ya ndugu waliomo humo, sijawai kuona wakiuza madawa yoyote,

Nirijaribu kufanya kautafiti kidogo toka mwaka jana nikagundua kuwa wao hawauzi bidhaa bali wanafanya mambo matatu, Mosi kutumia hayo uyaitayo madawa, pili wanashirikisha ndugu na jamaa madawa hayo na mwisho wanajenga kitu kinaitwa Network au Team kutokana na watu kupenda kutumia madawa hayo, huyu Mama jirani yangu fundi cherehani alinionesha karatasi inayoonesha Bonus yake mwezi wa Pili nilitaka kuwa chiz, sikuamini ilikuwa na figure in US$ 5,700 cash zimengia kwenye akaunti yake, mi na usomi wangu sijawai kuwa na akiba ya japo Sh milioni moja!

Ukweli natamani sana nami niingize kipato hicho, tatizo naona soo kumwambia kuwa nimekata shauri, Dola 5700 ni sawa na sh ngapi kwa madafu? na mtu analipwa kama Bonus!!!!
 
Ndg yangu Posho za Vikao una tatizo gani na vitu vya wazungu? sina tatizo na kuuza vya Tanzania, lakini ni vipi hivyo? tuambie hapo ulipo ni kitu gani cha Tz ulonacho, kuanzia nguo ya ndani hadi vya nyumbani.

Nenda dukan kwa mangi hapo jiran mwambie akutolee vya tzed, kama anavyo havifiki 6, je wataka afe njaa kwa kusubiri vya tzed? au pita maduka yoote mpaka yale makubwa kabisa alafu wambie wakuoneshe bidhaa za Tanzania, kama wanazo sidhani zitafika kumi, why?? Viwanda tumeua au kuharibu kwa kufilisi kutokana na Posho za Vikao visivyo na tija, leo hii mtu anaongelea bidhaa za Tzed wakati hata viberiti tu twaagiza toka kwa wazungu!

Badirika ndg yangu hii ni karne nyingine mipaka ya kijiografia haina nafasi tena nyakati hizi, fursa hii ukiijua waweza apply ktk business yoyote, by the way hilo jinalo wahamu kuwa ufadhili toka kwa hao wazungu? Tafakari chukua hatua..
 
Back
Top Bottom