nataka kujua hili wa jf mnisaidie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nataka kujua hili wa jf mnisaidie

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by papachu, Jul 10, 2011.

 1. p

  papachu Member

  #1
  Jul 10, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanajamii natatizwa na haya maneno hivi unasema company,ltd,enterprises kunatofauti gani,kwa mfano ukisajili biashara kwa jina mapendo company ltd,mapendo company au mapendo enterprises kunatofauti gani katika hayo maneno,naomba maelekezo zaidi
   
Loading...