Habarini wana JF,
Siku za nyuma niliwahi kufanya biashara ya kisamvu. Kilikuwa kinatwangwa
vizuri na kuchanganywa na kitunguu saumu na chumvi kidogo ili kukitunza
kisiharibike.
Vipi biashara...
Wakuu, jana nilitumiwa sms ikiwa na country code za UK (+491), yenye ujumbe unaosema: "Your Mobile No. has won 615,000.00 Pounds From NOKIA-UK. For details send email to:freenokia@live.com".
Ni...
Salama? Kuna nyumba ambayo haijakamilika(bangaluu)! Ina 1masterroom, 2bedrooms, sitting n dining rooms, ina kitchen, store ndogo, na choo+bafu..! Ipo kunduchi-mtongani njia panda ya kwenda wet...
Habari Great Thinkers,
Eti ni utaratibu gani unahitajika ama unatumika ili kuweza kupata mkopo bank ama katika financial services institution kubwa kwa ajili ya kuanzisha kampuni ama ofisi...
I have never met anyone who really likes losing money. And in all my years, I have never met a rich person who has never lost money. But I have met a lot of poor people who have never lost a...
You need not carry your ATM card to withdraw cash, if you are an IndusInd Bank​ Ltd customer and are carrying your cellphone
Mobile phones have already become a multi-purpose banking...
wapendwa nimesajiliwa kama business name na brela na ktk pitapita zangu nikakuta jina hilo hilo kuna mtu mwingine ana usajili kwa jina hilo hilo. tofauti ni kuwa moja ni business name na ingine ni...
Hii inatakiwa ije na huku bongo ili wanamuziki wafaidi matunda ya kazi zao!
Cell Muzik requires mobile retailers to obtain a licence to transfer music to handsets
If you can't beat them, join...
Hivi kuna siri gani kati ya ma contractor wa KiChina kuwa na bei za chini mno?
Rushwa au Uchakachuaji au bei za material?
kama issue ni bei za material siku hizi dunia iko open na siamini eti...
niwape pole wateja wa Vodacom kwa adha wanayoipata...........to be honest is a very serious problem.leo nilipita Vodashop ya Ohio nikakuta idadi ya wateja kubwa mno na wengi wao mara wanapofika...
Leo ktk pitapita yangu mitaa ya posta mpya jijini DSM nimekutana na ki2u, ambacho kidogo kimenishangaza, kuna vijana wawili walikamatwa na polisi kwa kosa la kujishughulisha na uuzaji wa chenchi...
WanaJf nimebarikiwa kununua minibus aina ya Isuzu Journey imesajiliwa,full ac,radio unaweza pia kutumia flash,ipo kwenye hali nzuri nilitaka kuifanya daladala ila naona ntasumbuana na...
Ushawahi kushindwa kununua maji ya mia tano kwa sababu muuzaji hana chenji ya elfu mbili? Unataka gazeti muuzaji anakwambia chukua mawili, vinginevyo chenji hakuna.
Katika pitapita zangu katika...
Tanzania raises royalty fee on gold exports
SUNDAY, 28 AUGUST 2011 19:07 DOREEN DAVID
DAR ES SALAAM, TANZANIA- The third largest gold producer in Africa, Tanzania, has attracted significant...
Alhaji Aliko Dangote from the oil rich Nigeria is the richest man in Africa with assets worth US$13.8 billion. He is 51st in the world. Just thinking loud about our Tanzanian businessmen...
wakuu nawasalim,tatizo langu ni kwamba tuna kampun yetu mimi na kaka yangu inajishughulisha na electrical repairs,instillations,repairs of ac and generetors,ina wafanyakaz watano,kampun yetu ina...
Hi, habari zenu?
Ushauri wenu, maoni yenu ni muhimu kweli!!!!!!!!!!
Nikitaka kujenga nyumbaya kuish mimi, mke wangu na mtoto wangu kama hii (AmazingPlans.com House Plan #1885C-SLM - 1885 Square...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.