Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Source Michuzi East African Single Currency, The Hidden Dangers Part I Debate…………….. East African bloc of nations is sprinting to launch its unified currency in a year or so. However, there are...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
katika pita pita yangu mtandaoni nimekutana na website ya CEO Roundtable - Tanzania, kwa kweli wameni-inspire nami nataraji siku moja nitapiga hatua toka CEO wa kampuni changa kama yangu hadi kuwa...
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Ningependa kufaham bei ya simu hii mpya
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Heshima mbele wakubwa! Mimi nimekuwa nikipita mara kwa mara na nimeguswa sana na moyo wa wengi hapa wa kufundishana na kusaidiana utaalamu wa biashara na ujasiriamali. Nimeona pia kuna ari ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa wenye kumbukumbu vizuri, february 2011 tulikuwa na kikao pale Lunch time Hotel. Moja ya maazimio ilikuwa ni kupata shamba kubwa kwa ajili jf members wanaopenda kilimo. Kwa upande wa misitu...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana JF naombeni mnijuze ni wapi kuna duka la vitabu wanapouza kwa bei ya jumla. nahitaji kuuza vitabu vya higher learning/elimu ya juu.<BR>tafadhari nisaidiane mjasiriamali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu naomba kujua kama Real motors (Nimewakuta kwenye Trade car view) wanaaminika,kuna gari nataka kulipia kwao.Ntashukuru kwa msaada/Maoni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati mwingine najiuliza ni kwann tanesco inawalipa EWURA kutoka katika kila bili ya mtumiaji wa umeme?Kwa mtizamo wangu kwa kuwa mfumo wa uzalishaji umeme nchi kwa kiasi kikubwa unategemea maji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The following is a guest post we’re pleased to share by Ignacio Mas, consultant associated with Bankable Frontier mobile money providers are increasingly pondering the path from payments to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada wenu jins ya kuweza kuchapa kitabu ambacho ni msaada mkubwa kwa O'level. Kipo hatua za mwisho, lakini tatizo nililonalo ni pesa ya uchapishaji. Mwenye namna yeyote ya kunifanya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ninauza shamba lenye ukubwa wa ekari moja, lipo umbali wa kilometa 25 kutoka ferry. Eneo linaitwa mbutu Mkwajuni. Bei Tshs. 4000,000 ( Milioni nne). Mmiliki ni mimi mwenyewe, piga namba 0658 517...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Nimekuwa nikifuatilia jinsi sekta ya miundombinu ya barabara inavyosimamiwa na kugundua udhaifu wa mfumo uliopo. Barabara zote hapa nchini zinaendeshwa kwa mtindo wa public goods. Kwa waliosoma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Positive Mental Attitude ni kitu gani hii na inamsaada gani maishani mwetu? Kuwa na tabia ya mtizamo chanya (Positive Mental Attitude) ni kitu muhimu sana maishani, iwapo tutashindwa sisi wenyewe...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
WanaJF! Ndg zangu kwa wenye uzoefu ktk ma2mizi ya gas. Kwanza utazikuta ktk ujazo tofauti kt ya kg 15 ikiwa ni mtungi mkubwa,kg 8 hii ikiwa ni mtungi mdogo. Yote haya ni ktk kampuni yote hizo tatu...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Natafuta mbao ambazo zimeshatumika 2*4 pcs 100 na 1*8 au 1*10 pcs 60. Maeneo ya Mbezi beach, Tegeta, ubungo na Mbezi Mbezi Morogoro road. Piga au sms 0754692008.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani mimi nina mbao nyingi ambazo natafuta soko nje ya nchi. Je kuna mtu anaweza kunioa connections? Je market ya mpira ipo wapi? Niko tayari kusikiliza na kujadili biashara na wadau mbali mbali
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Written by MODIRI MOGENDE Wednesday, 07 September 2011 Botswana Stock Exchange listed Turnstar Holdings is readying to take on the Tanzania property market. According to the company's new...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania has banned sugar exports in a series of measures to tame spiralling prices that have fuelled inflation in east Africa's second-biggest economy, local media said...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa mwanza,bwiru press. Kina ukubwa wa ekari moja,.. kiko mita 50 kutoka ziwani. Bei yake ni mil 55 kwa sasa. Ni PM kwa maelezo zaidi au piga 0788 009 002 Karibu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
I hope hatutakuja sikia scandals kwenye hii mikataba tunayoingia nao hawa jamaa! DAR ES SALAAM, TANZANIA- Monday, 05 September 2011 08:26 Doreen David The Tanzania t Government has granted the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom