NMB inaelekea wapi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NMB inaelekea wapi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Biohazard, Sep 13, 2011.

 1. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Duu hii kitu imeniumiza sana, NMB ni Benki ya watu wa hali ya chini cha ajabu Inatoza shilingi 1000 kwa anaye Deposit pesa kwenye akaunti ambayo sio ya kwake, Ikiwa na maana anayekatwa pesa ni yule unaemuingizia hiyo pesa. Hata kama unadeposit shs 2000 basi pasu pasu na Benki.
  Najiuliza:
  1. Je hii ni haki kweli?
  2. Je mmiliki wa NMB sahizi ni nani?
  3. Je hiyo 1000 inakatwa kodi au ndo makada wanazidi kuwalalia wanyonge?
   
 2. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Ni kweli hili tozo siyo la haki. Lakini NMB walitoa matangazo na kutoa vipeperushi kuhusu uanzishwaji wake na wateja, kama kawaida yetu waTZ, tukakaa kimya. Nashauri wateja wote wa NMB wanaochukizwa na hili watueme e-mail, sms, barua, n.k. kwa uongozi kueleza kuchukizwa na tozo hili. Wasiposikiliza tutajua lingine la kufanya. Contact info. iliyo kwenye tovuti yao ni hii:

  NATIONAL MICROFINANCE BANK
  HEAD OFFICE - NMB HOUSE
  AZIKIWE/JAMHURI STREET
  P.O. BOX 9213, DAR ES SALAAM, TANZANIA
  TELEPHONE: +255(0)22 2161000
  Email: info@nmbtz.co
   
 3. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Benk zazidi ongezeka ....hivyo tuendako benki itabidi zijifanyie self assessment ili ziweze kuendelea kufanya vizuri! by the way mlipoambiwa NMB ni among the top 10 large Taxpayers in Tanzania mlidhani fedha zinatoka wapi?

   
 4. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Mkuu ngoja nifanye hivyo mara moja maana hali ni tete na inaumiza sana ndugu.
   
 5. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  kwani benk ni hiyo tu, mbona zipo kibao, achana nao
   
Loading...