Ni kweli Azam Cola imepigwa marufuku

mtu chake

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
22,253
2,000
Kampuni ya Azam ilizindua soda aina ya Azam Cola..ambazo zilitokea kupendwa sana...ila sasa kuna STORY mitaa kuwa zimesimamishwa/kufungiwa..nimeuliza kisa sijapata..naona bora niulize huku Jamvini ...anayejua atuabarishe
 
The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,617
1,225
Hakijapigwa marufuku bwana kitaani kiposema labda kama kawaida sema haya mambo ya ushindani kwenye biashara kampuni zingine zimewekwa kapuni na kinywaji hiki halafu strategy waliyotumia Azama niliipenda sana yaani Ml 500 wanauza kwa Shs 500 wakati soda Ml 350 ni Shs 500 naona Coca Cola ndio walikuwa wa kwanza kulalamika FCC (Fair Competition Commission) pamoja na kuwa kinywaji hiki kimepandishwa bei na kuwa Shs 700 lakini bado watu wanaendelea kununua kama kawaida
 
Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,774

<br />
<br />
kwenye kikao kutakuwa na azam cola?
 
mtu chake

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
22,253
2,000
sawa mkuu..ila mtaani zilivuma sana hizi story...ndio maana nashangaa...juzi nilinunua kwa mia 700..
 
nguvumali

JF-Expert Member
Sep 3, 2009
4,897
2,000
sijawahi kunywa, bado nasikilizia kama hazipunguzi nguvu za kiume, nikiona hakuna malalamiko baada ya miezi 6, nami nitajitosa kujaribu radha ya kinywaji kutoka kwa mzalishaji wa nyumbani Tanzania
 
georgeallen

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
3,763
2,000
kwanza haina cola yoyote, ile ni maji ya sukari iliyokaangwa ikawekwa carbon bei mia 700/= . haina thamani hata ya jiti
 
uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,718
1,225
Mimi soda hutumia club soda tu na hizi malt drinks ambazo hazina kilevi nikitaka kupumzika na konyagi na grants. Niwatahadharishe kuwa kinywaji cha malt cha Azam ni madawa tu hamna hata chembe ya malt au kitu chochote natural ni makemikali tu,nilikunywa mara moja na baada ya kusoma maelezo pwmbeni ya chupa ni mara ya mwisho kuinywa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom