ANY IDEA, Please

Wi-Fi

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
2,091
1,368
wakuu mimi nilikua nauliza ivi mtu anayesomea degree ya insurance and risk management au mtu anayesomea procurement and logistic management ni yupi anaeweza kupata ajira/kazi itakayo m-boost kwa haraka ili baadae ajiajiri?? Thanx
 
ZeMarcopolo

JF-Expert Member
May 11, 2008
14,009
7,187
Swali liko void!
Mambo yako hivi: uwezo wa mtu kujiajiri hutokana na kipaji au creativity yake. Hakuna uhusiano kati ya kozi uliyosoma na uwezo wa kujiajiri. Ukiwa creative hata ukisoma local government management unaweza kujiajiri.
 
JAY2da4

JF-Expert Member
Nov 11, 2008
213
155
Swali liko void!
Mambo yako hivi: uwezo wa mtu kujiajiri hutokana na kipaji au creativity yake. Hakuna uhusiano kati ya kozi uliyosoma na uwezo wa kujiajiri. Ukiwa creative hata ukisoma local government management unaweza kujiajiri.

Ndugu hapa umegonga point yenyewe ,wala hujauma maneno,na wala haihitaji degree kujiajiri mwenyewe.,japo ukiwa nayo sio mbaya .
 
Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,470
272
wakuu mimi nilikua nauliza ivi mtu anayesomea degree ya insurance and risk management au mtu anayesomea procurement and logistic management ni yupi anaeweza kupata ajira/kazi itakayo m-boost kwa haraka ili baadae ajiajiri?? Thanx
Kusoma ni cheti au kuelimika na elimu kukuwezesha kufanya kazi..?..!!
 
Wi-Fi

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
2,091
1,368
Swali liko void!
Mambo yako hivi: uwezo wa mtu kujiajiri hutokana na kipaji au creativity yake. Hakuna uhusiano kati ya kozi uliyosoma na uwezo wa kujiajiri. Ukiwa creative hata ukisoma local government management unaweza kujiajiri.

thanks bro, lakini si lazima uwe na capital ndo ujiajiri?? je kati ya izo kozi mbili ni ipi nzuri kutengeneza capital nzuri?
 
Doltyne

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
440
168
Swali liko void!
Mambo yako hivi: uwezo wa mtu kujiajiri hutokana na kipaji au creativity yake. Hakuna uhusiano kati ya kozi uliyosoma na uwezo wa kujiajiri. Ukiwa creative hata ukisoma local government management unaweza kujiajiri.

Well pointed out. Hakuna uhusiano kati ya Kozi uliyosoma na Ubunifu wako wa kujiajiri na kujituma kazini. Ushahidi unaonekana kila siku, Wasiosoma Biashara ndio huajiri wasomi wa biashara wakubwa na magwiji wa kuongoza kampuni zao.
 
Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
71,659
143,542
wakuu mimi nilikua nauliza ivi mtu anayesomea degree ya insurance and risk management au mtu anayesomea procurement and logistic management ni yupi anaeweza kupata ajira/kazi itakayo m-boost kwa haraka ili baadae ajiajiri?? Thanx
Somea uganga wa kienyejeji, ntakupa namba ya MKW'ERE utakula maisha.
 
Wi-Fi

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
2,091
1,368
Well pointed out. Hakuna uhusiano kati ya Kozi uliyosoma na Ubunifu wako wa kujiajiri na kujituma kazini. Ushahidi unaonekana kila siku, Wasiosoma Biashara ndio huajiri wasomi wa biashara wakubwa na magwiji wa kuongoza kampuni zao.

umesomeka kaka, asante
 
Ellie

Senior Member
Sep 2, 2011
123
15
Aisee swlala la kujiajiri lipo mikononi mwako, it doesnt matter what kind of da degree u gat , tha thing is for u to be creative and think BIG na kuwa optimistic in risk taking!
 
SaidAlly

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
2,297
2,097
Kusoma ni cheti au kuelimika na elimu kukuwezesha kufanya kazi..?..!!
<br />
<br />

Muongezee na hii hapa toka kwa Baba wa Taifa aliyosema ''To familiarize is to know the facts, going to school only help us, though we cannot go to school but we may familiarize''
.
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
74,134
75,090
wakuu mimi nilikua nauliza ivi mtu anayesomea degree ya insurance and risk management au mtu anayesomea procurement and logistic management ni yupi anaeweza kupata ajira/kazi itakayo m-boost kwa haraka ili baadae ajiajiri?? Thanx

Nadhani zote mbili they are on the par. Ku-ku boost, do you mean honestly earning au yenye 10% nyingi?
 
Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,039
1,832
Na ukiangalia mabilionea wakubwa wa huu ulimwengu kama Bill gates,michael dell,roman abromovich,sheldom,mark zuckerberg etc hawa wote walidropp frm college{waliacha masomo yao vyuon} bt ukiangalia wao leo ndo wanaoufanya ulimwengu uwe kama kijiji kimoja,elimu co k2,kikubwa ni maarifa na kuji2ma ktk kazi mkuu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom